Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
- Thread starter
- #121
Utakuwa Huna wakummiss broo poleeUme
Umekosa kazi wew jamaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakuwa Huna wakummiss broo poleeUme
Umekosa kazi wew jamaa
Nmekumiss wew mchumbaUtakuwa Huna wakummiss broo polee
Jishaue tu kama unakula kwaoKati ya member alie jiwekea heshima humu janvini Hadi nammisi sana ni (Joanna)huyu merembo sizani Kama kunamtu humu ashawahi kumgonga japo wengi sana tunamtamani
Kuna nember nilikuwa namfatilia Sanaa alikuwa na ukaribu nae Kama alikuwa anamtongoza kishkaji yani anaitwa ditective j.alikuwa anamnyapia sana
nimeenda sana pm kwake kumwaga Sera lakini hajawahi kujibu ujumbe wangu daah
sasa ivi haonekani maranyingi sijui kwanini?
huyundio demu staakuliko wote humu ndani amejibland sana
sio Hawa wanaoliwa kwa mafungu kilasiku humu..
wee vipi?umeelewa nilicho andika kweli?Jishaue tu kama unakula kwao
Kati ya member alie jiwekea heshima humu janvini Hadi nammisi sana ni (Joanna)huyu merembo sizani Kama kunamtu humu ashawahi kumgonga japo wengi sana tunamtamani
Kuna nember nilikuwa namfatilia Sanaa alikuwa na ukaribu nae Kama alikuwa anamtongoza kishkaji yani anaitwa ditective j.alikuwa anamnyapia sana
nimeenda sana pm kwake kumwaga Sera lakini hajawahi kujibu ujumbe wangu daah
sasa ivi haonekani maranyingi sijui kwanini?
huyundio demu staakuliko wote humu ndani amejibland sana
sio Hawa wanaoliwa kwa mafungu kilasiku humu..
sikuhizi simuoni akichangia..,😅😅Mjaribu tena kwa hii I'd mpya.😄
😃😃 kalihitimu Cuba😂😂😂😂
Kadogo kangu kambeya,
😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘mwaaaa😃😃 kalihitimu Cuba
Nipo kamanda,Nimekumiss vibaya
Nakupenda...!!😃😃 kalihitimu Cuba
Mimi mwanaume ni mtu wa ajabu sana, huwezi amini, I just feel it, and i wish i could ask you somethin'!Wajameni huu Uzi nikwa wale watu ambao wamewamiss wapendwa wao hii siku ya Leo.
Nani unatamani hapo ulipo uwe naye karibu au uwe unachart naye saii.
Mie sijammiss mtu labda hela
Nami nakupenda sana camanda😍😍😂Nakupenda...!!