Nani kanufaika na ukulima wa pilipili kichaa?

Nani kanufaika na ukulima wa pilipili kichaa?

JAMANI NANI KALIMA YEYE KAMA YEYE NA KUVUMA PILIPILI KICHAA ATUPE USHUHUDA WA FAIDA NA CHANGAMOTO ZA KILIMO HUSIKA. ASANTE
Kuna ''msimu kula cha wajinga'' umerudi tena nini? Maana hii nchi yangu raia wake wanaangamia kwa kukosa maarifa. Mara sungura, mara kuku, mara vanila.... kila baada ya muda wanakuja na kipya lakini mtindo ni ule ule.
 
Mkuu ajira hakuna tulia watu wakusanye za kwao.nakuomba sana mkuu tulia kabisa kaa kimya.
 
NAJUA KUNA WATU WANAHAMASHA NA WANAKUSANYA ILA NATAKA KUPATA USHUHUDA WA MTU ALIYELIMA ILI KUJIFUNZA FIRSA NA CHANGAMOTO ZAKE HASA
 
Mtafute mchumi wa mkoa wa Singida bwan mwalongo
 
+255682383518

Mpigie huyu jamaaa kalima heka kumi na siyo mchoyo
 
JAMANI NANI KALIMA YEYE KAMA YEYE NA KUVUMA PILIPILI KICHAA ATUPE USHUHUDA WA FAIDA NA CHANGAMOTO ZA KILIMO HUSIKA. ASANTE
Ukulima pilipili kichaa kijijini pako ujue tembo watakususa hawatakuja hata kukusalimu.
 
kwa taarifa nilizonazo, soko limeyumbishwa na vita vya Ukraine, kwa sasa mzigo unatoka kwa shida.
 
Jamani nani kalima yeye kama yeye na kuvuma pilipili kichaa atupe ushuhuda wa faida na changamoto za kilimo husika.

Asante
Pilipili zinaliwa nahisi kila sehemu, wewe lima ikishindikana process na uza, Haya ya kutegemea sijui usikie nani kafanikiwa ndo yanaingiza watu chaka, na mtu anaweza sema kafanikiwa lakini wewe usifanikiwe na pia anaweza sema hajafanikiwa lakini wewe ukafanikiwa

Shida kunwa Wakula wanaogopa kutafuta masoko kokote kule tunangojea tutafuniwe sisi tumeze, Nawaonaga Wakenya huku Arusha wanakuja kutafuta Masoko, juzi kati nilikuwa na Rafiki yangu mmoja kaja Arusha ikabidi nianze kumtembeza anatafuta soko kwenye Masuper Market ya Uyoga aina fulani, na kweli alibahatisha kupata.

Sasa sisi tumelala tunangojea wanunuzi waje shambani
 
Kuna ''msimu kula cha wajinga'' umerudi tena nini? Maana hii nchi yangu raia wake wanaangamia kwa kukosa maarifa. Mara sungura, mara kuku, mara vanila.... kila baada ya muda wanakuja na kipya lakini mtindo ni ule ule.
Hivyo vyote ulivyo vitaja mbona ni Biashara? Changamoto ni kwamba watu hawahangaiki kutafuta soko na mbinu za kuuza, hilo ndo tatizo kubwa,
 
NAJUA KUNA WATU WANAHAMASHA NA WANAKUSANYA ILA NATAKA KUPATA USHUHUDA WA MTU ALIYELIMA ILI KUJIFUNZA FIRSA NA CHANGAMOTO ZAKE HASA
Usilime kwa sababu tu kwamba umesikia watu wakihamasoshwa, Wewe tafuta furusa ingia lima kwa sababu zako sio zs kuhamasishwa, Kama unalima kwa sababu ya hamasa na kushauri acha
 
Hivyo vyote ulivyo vitaja mbona ni Biashara? Changamoto ni kwamba watu hawahangaiki kutafuta soko na mbinu za kuuza, hilo ndo tatizo kubwa,
Infact sijasema sii biashara. Nimeuliza ni msimu mwingine tena wa kula wajinga umefika?
 
Kuna ''msimu kula cha wajinga'' umerudi tena nini? Maana hii nchi yangu raia wake wanaangamia kwa kukosa maarifa. Mara sungura, mara kuku, mara vanila.... kila baada ya muda wanakuja na kipya lakini mtindo ni ule ule.
Mim nipo kwenye kampuni inayojihusisha na kilimo hiki nmeajiliwa km afisa kilimo...kiukwel hii fursa ipo ila masoko yake hayako waz sana km uko tyr fatilia ilka hiki kilimo kinalipa sana

Mfano kampun ninayofanya kaz tunaingia mkataba na mkulima wa kumkopesha mbegu na kununua mazao yake pale atapovuna(cash) sio subir nikauze kisha nikuletee pesa

Wadau fatilien hii fursa kikubwa zaid kuwa makin maana makampun meng n ya matapeli
 
Hiyo ni site yetu ipo korogwe, Tanga
20220703_075647.jpg
20220703_075618.jpg
 
Usilime kwa sababu tu kwamba umesikia watu wakihamasoshwa, Wewe tafuta furusa ingia lima kwa sababu zako sio zs kuhamasishwa, Kama unalima kwa sababu ya hamasa na kushauri acha
Hatari....Kuna mwamba kalima na ameamdika makala
 
Back
Top Bottom