Nani kanufaika na ukulima wa pilipili kichaa?

Nani kanufaika na ukulima wa pilipili kichaa?

na mie nilipewa iyo fursa bado naifuatilia,
 
double click tatizo siyo kulima au mkataba.
Unaweza kuingia mkataba na watu wakainia mitini usijue pa kuuza mzio mkubwa kama huo wakati umetumia milioni kadhaa kulima.
Mbegu tu unaambiwa laki 3 na kitu kwa hekari bado mengineyo.
Pia unaweza kulima ukaambiwa uwape mzio kampuni utakuja kulipwa baada ya majuma(weeks) kisha ikachukua muda zaidi na kulipwa pungufu tena kwa awamu(installments).
 
Back
Top Bottom