double click tatizo siyo kulima au mkataba.
Unaweza kuingia mkataba na watu wakainia mitini usijue pa kuuza mzio mkubwa kama huo wakati umetumia milioni kadhaa kulima.
Mbegu tu unaambiwa laki 3 na kitu kwa hekari bado mengineyo.
Pia unaweza kulima ukaambiwa uwape mzio kampuni utakuja kulipwa baada ya majuma(weeks) kisha ikachukua muda zaidi na kulipwa pungufu tena kwa awamu(installments).