mimi mtakatifu
JF-Expert Member
- Oct 11, 2019
- 331
- 708
kwani Israel haijaharibiwa?Mpaka sasa Iran amepoteza sana kwani vita vikiisha leo hiyo gharama aliyonayo ya kuijenga upya Iran bado haijulikani ataipataje na vikwazo hivi alivyonavyo bado.
Bila kusahau viongozi waliowapoteza toka mwanzo ambao hawawezi kurudi katu na kwa vyovyote vile vikwazo vitaendelea kuwepo na sana sana vitaongezwa zaidi.
hebu fafanua kwenye hayo maoni yako umemaanisha nini?Wakati wanaenda kwenye wiki mbili za ceasefire.
π Nani kashinda vita kati ya USA vs Iran?
Kwa vigezo gani:
Military power (nani kampiga mwenzie zaidi)?
Survival (nani bado yupo hai kiushawishi mpaka sasa)?
Uchumi (nani amemuathiri mwenzie au nani anaiathiri dunia)?
Au nani analazimisha masharti yake mezani yashinde?
Hii ceasefire mbona US ameiomba sana na Iran amekubali kirahisi au ni "timing game" wanaviziana?
Maoni yangu π:
π US anaonekana mshindi wa vita ya βkushambuliaβ
π Iran anaonekana mshindi wa vita ya βuvumilivuβ na "uharibifu "
Wewe unasemaje? π
Hii vita ina mshindi kweli⦠au ni ile ya kila mtu anajitangaza mshindi kwenye media?
Kimkakati Iran ni washindi kwasababu bado waushikilia mfereji wa Hormuz na waendelea kutoza tozo milioni 2 kwa kila meli.Wakati wanaenda kwenye wiki mbili za ceasefire.
π Nani kashinda vita kati ya USA vs Iran?
Kwa vigezo gani:
Military power (nani kampiga mwenzie zaidi)?
Survival (nani bado yupo hai kiushawishi mpaka sasa)?
Uchumi (nani amemuathiri mwenzie au nani anaiathiri dunia)?
Au nani analazimisha masharti yake mezani yashinde?
Hii ceasefire mbona US ameiomba sana na Iran amekubali kirahisi au ni "timing game" wanaviziana?
Maoni yangu π:
π US anaonekana mshindi wa vita ya βkushambuliaβ
π Iran anaonekana mshindi wa vita ya βuvumilivuβ na "uharibifu "
Wewe unasemaje? π
Hii vita ina mshindi kweli⦠au ni ile ya kila mtu anajitangaza mshindi kwenye media?
Iran kasema Tozo za meli zitalipia gharamaMpaka sasa Iran amepoteza sana kwani vita vikiisha leo hiyo gharama aliyonayo ya kuijenga upya Iran bado haijulikani ataipataje na vikwazo hivi alivyonavyo bado.
Bila kusahau viongozi waliowapoteza toka mwanzo ambao hawawezi kurudi katu na kwa vyovyote vile vikwazo vitaendelea kuwepo na sana sana vitaongezwa zaidi.
Lengo ilikua kusambaratisha familia nzima na kuihamisha Kwenye nyumba Yao hivyo Iran kabaki kwake japo Kwa maumivu makubwa lakini si Kwa kukubali kirahisiMtu anakuja kwako anampiga baba yako , mama yako , na ndg zako wengine na wote anawaua Kisha anakwambia njoo mezan tuzungumze
Arf ww unasema umeshinda hzo n akili kweli?
Imeharibiwa lakini Iran imeharibiwa vibaya sana. Hakuna kambi ya jeshi hata moja iliyosalia na ni hivyo hivyo kwa vituo vya polisi, majengo ya serikali vyuo na maeneo ya kufanyia utafiti.kwani Israel haijaharibiwa?
unaumwa wewe kwahio makombora waliokuwa wanarusha walikuwa wanarusha kutokea chumbani au?Imeharibiwa lakini Iran imeharibiwa vibaya sana. Hakuna kambi ya jeshi hata moja iliyosalia na ni hivyo hivyo kwa vituo vya polisi, majengo ya serikali vyuo na maeneo ya kufanyia utafiti.
Makombora walikuwa hawarushi kutoka kwenye kambi za jeshi, walikuwa wakirusha kutokea chini ya milima, kumbe wewe hata hujui chochote ni ushabiki tu.unaumwa wewe kwahio makombora waliokuwa wanarusha walikuwa wanarusha kutokea chumbani au?
Okay, it makes senseKimkakati Iran ni washindi kwasababu bado waushikilia mfereji wa Hormuz na waendelea kutoza tozo milioni 2 kwa kila meli.
Lengo la vita lilikuwa regime change kama hilo halijatokea basi upande wa USA na Israel haujashinda kama uharibifu kote kumetokea uharibifuMpaka sasa Iran amepoteza sana kwani vita vikiisha leo hiyo gharama aliyonayo ya kuijenga upya Iran bado haijulikani ataipataje na vikwazo hivi alivyonavyo bado.
Bila kusahau viongozi waliowapoteza toka mwanzo ambao hawawezi kurudi katu na kwa vyovyote vile vikwazo vitaendelea kuwepo na sana sana vitaongezwa zaidi.
Wanajipa ushindi wakati malengo yao bado hayajatimiaAwamini macho yao.Iran sio Zimbambwe
Sio milion 2 sema usd million 2 usipunguze sifuri tafadhaliKimkakati Iran ni washindi kwasababu bado waushikilia mfereji wa Hormuz na waendelea kutoza tozo milioni 2 kwa kila meli.
Alafu Iran alivyo fala ameenda kwenye kikao na hiv tunavyoongea marekani ameifunga homuz....hiyo ndo super powerMtu anakuja kwako anampiga baba yako , mama yako , na ndg zako wengine na wote anawaua Kisha anakwambia njoo mezan tuzungumze
Arf ww unasema umeshinda hzo n akili kweli?
Ni kweli uharibifu umetokea kote lkn Iran ni zaidi halafu na mzigo wa vikwazo inafanya kazi ya ukarabati kuwa ngumu sana.Lengo la vita lilikuwa regime change kama hilo halijatokea basi upande wa USA na Israel haujashinda kama uharibifu kote kumetokea uharibifu