Huo uzaidi wa iran wewe umeujuaje??Kama vikwazo vimewekwa miaka 40 na bado hawajasalimu amri vita wamepigana sana na bado wameendelea kukaza kila siku mara regime change mara assassination ya viongozi wakuu bado mzingiro bado wewe useme zaidi anaumia fulani kwa mantiki ipi??Ni kweli uharibifu umetokea kote lkn Iran ni zaidi halafu na mzigo wa vikwazo inafanya kazi ya ukarabati kuwa ngumu sana.
Mkakati umebadilika kutoka regime change hadi kuifunga mlango bahari??Maana yake hapo ni kwamba mpango wa kwanza umefeli??Au ndiyo ulifaulu??Alafu Iran alivyo fala ameenda kwenye kikao na hiv tunavyoongea marekani ameifunga homuz....hiyo ndo super power
can you show us picha za uharibifu?Mpaka sasa Iran amepoteza sana kwani vita vikiisha leo hiyo gharama aliyonayo ya kuijenga upya Iran bado haijulikani ataipataje na vikwazo hivi alivyonavyo bado.
Bila kusahau viongozi waliowapoteza toka mwanzo ambao hawawezi kurudi katu na kwa vyovyote vile vikwazo vitaendelea kuwepo na sana sana vitaongezwa zaidi.
can you show us picha za uharibifu?
Haaahaaaa leo una maoni gani mkuu? Pole sana, hii ndio Iran.kwa vyovyote vile vikwazo vitaendelea kuwepo na sana sana vitaongezwa zaidi
Una maoni gani US kukubali kutoa fedha ya ukarabati?Mpaka sasa Iran amepoteza sana kwani vita vikiisha leo hiyo gharama aliyonayo ya kuijenga upya Iran bado haijulikani ataipataje na vikwazo hivi alivyonavyo bado
Maneno ya kujifarijihaya, mtu anasafiri maelfu ya kilometer anakuja kuwauwa viongozi na watu wengine wasio na hatia alafu unasema ameona aibu??.Mpaka sasa 50*50 ila ni Aibu kwa USA na Israel kuomba mazungumzo
dogo Iran atalipwa 300 Billion na Gulf states kuijenga Iran je Israel nani atamlipa.Mpaka sasa Iran amepoteza sana kwani vita vikiisha leo hiyo gharama aliyonayo ya kuijenga upya Iran bado haijulikani ataipataje na vikwazo hivi alivyonavyo bado.
Bila kusahau viongozi waliowapoteza toka mwanzo ambao hawawezi kurudi katu na kwa vyovyote vile vikwazo vitaendelea kuwepo na sana sana vitaongezwa zaidi.
[emoji23]Ulitaka Irani ufanywe kama Gaza ndio uamini kunaushindi, acheni mizaha na hayamambo nyiewatu, halinimbaya sana huko.Awamini macho yao.Iran sio Zimbambwe