Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
GSMNimeona watu hawa wenye ushawishi mkubwa wametua Kongwa. Ni maandalizi ya uchaguzi wa mwaka 2025? Nani kati yao analitaka jimbo? Ni ziara ya kawaida au kimkakati?.
View attachment 3156373
Mbunge anatumwa anatakiwa kutumwa na raia wapiga kura.GSM hawezi, atakua anataka kumtuma engineer bungeni
Kwa niaba ya boss😂GSM hawezi, atakua anataka kumtuma engineer bungeni
Wanataka cha Mjerumani toka Kwa Job ndugai watulie na haya ma b/day Yao…Kwahiyo unataka Kuna mbia GSM ni mgogo? Au huyo injinia ni mgogo? Au wameenda kumfanyia fujo jobu ndugai tu
Bunge lipi hiloMbunge anatumwa anatakiwa kutumwa na raia wapiga kura.
Inabidi ipitishwe sheria Mtanzania yoyote mwwnyw asili ya kiarabu,kisomali,mhindi marufuku kuwa wawakikishi wa wakulungwa.