fasiliteta
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 2,372
- 4,090
Waafrica ndo mana duniani tunabaguliwa sana,hebu tuone comment za waja wakiwabagua wa-Africa wenzao huku Taifa subway duniani kama USA Lina wabunge/viongozi lukuki mpaka wale wa state house ambao hawana asili ya America. SHAME ON US NGOZI NYEUSI