Tazama mtu yule akajibu kwa lugha isiyoeleweka na tena haikuwa rasmi kwake ni lugha ya Watumwa basi wakashindwa kuelewana na Kikao kikaamua kupitisha Sheria ile ya "Historia ya jana haiwezi kubadili historia ya kesho" Waerevu 10: 2-4The lovers of romance can go elsewhere for satisfaction but where can the lovers of truth turn if not to history? ~Katharine Anthony
Rais ni mtu wa umma na swali lolote la kumhusu mi halali hapa majlis ya wananchi, na wewe umepewa hishma ya kuulizwa swali.
Kama mwanahistoria kuna vizazi vitakuja kuuliza kama rais alijua kula chapati kwa mchuzi.
Una wajibu wa kutoa ujualo.
Tazama mtu yule akajibu kwa lugha isiyoeleweka na tena haikuwa rasmi kwake ni lugha ya Watumwa basi wakashindwa kuelewana na Kikao kikaamua kupitisha Sheria ile ya "Historia ya jana haiwezi kubadili historia ya kesho" Waerevu 10: 2-4
Wewe link zako huchelewi kuniwekea virusi hata sikuamini.Chapati na mchuzi haikukutosha, sasa umeongeza na Saigon...
Bofya hapa: Ombi kwa Mohammed Said kuhusu Saigon Club
1954Wewe link zako huchelewi kuniwekea virusi hata sikuamini.
1954
''Kumbukumbu zinaonyesha kwamba Idd Faiz Mafongoalihudhuria mkutano wa uzinduzi wa TANU katika Ukumbi wa Arnautoglu. Haifahamiki kwa hakika hasa ni lini Idd Faiz alijiunga na TANU kwa sababu kadi yake ya kwanza ya uanachama ilipotea na akapewa kadi nyingine iliyokuwa na namba 915 iliyotolewa tarehe 28 Agosti, 1954. Lakini kwa kukisia tu kutokana na kadi ambayo Idd Faiz mwenyewe aliitoa kwa kaka yake Idd Tosiri ambayo ilikuwa kadi namba 25 na yenye saini yake kama afisa aliyetoa kadi hiyo, inaweza kuchukuliwa kwa uhakika kuwa Idd Faiz alikuwa miongoni mwa wale watu wa mwanzo kabisa kuingia TANU na huenda akawa miongoni mwa wanachama ishirini wa mwanzo. Ukichukua katika fikra ukweli kwamba Ali Mwinyi Tambwe aliyekuwa katibu wa Al Jamiatul Islamiyya aliingizwa TANU na Mtemvu katikati ya mwezi Agosti, 1955, huenda Ally Mwinyi kama katibu wa Al Jamiatul Islamiyya na Idd Faiz akiwa mweka hazina, wote wawili waliingia TANU wakati mmoja.''..
Lililoulizwa hujajibu na ulilojibu halijaulizwa.Raia Mwema limemwandika Ali Mwinyi Tambwe katika moja ya makala zake katika toleo la Julai 5 - Julai 11, 2017. Binafsi nimemfahamu Ali mwinyi Tambwe toka utoto wangu. Nilikutana na Ali Mwinyi Tambwe katika Nyaraka za Sykes wakati wa utafiti wa kitabu cha Abdul Sykes na hivi ndivyo nilivyomwandika Ali Mwinyi mzalendo aliyefanya mengi lakini yeye mwenyewe hakupenda kuyaeleza:
Baada ya Sheria ile kupitishwa na kuanza kutumika. Kukajitokeza kundi la Watu wasiokuwa na ulewa(Punguani) wakaendelea kupinga kwa kuleta maandiko yasiyokidhi Matakwa ya Jamii ile nalo kundi hilo likakosa Ushawishi katika jamii yake. Sheria ile inakaendelea kutawala Vizazi na Vizazi. Waerevu 20: 2-6Matendo ya mitume 17:
26 Naye alifanya kila taifa la wanadamu kutoka katika mmoja, wakae juu ya uso wa nchi yote, akiisha kuwawekea nyakati alizoziamuru tangu zamani, na mipaka ya makazi yao;
27 ili wamtafute Mungu, ingawa ni kwa kupapasa-papasa, wakamwone, ijapokuwa hawi mbali na kila mmoja wetu.
Nyakati = history (refer bible in English).
1954
''Kumbukumbu zinaonyesha kwamba Idd Faiz Mafongoalihudhuria mkutano wa uzinduzi wa TANU katika Ukumbi wa Arnautoglu. Haifahamiki kwa hakika hasa ni lini Idd Faiz alijiunga na TANU kwa sababu kadi yake ya kwanza ya uanachama ilipotea na akapewa kadi nyingine iliyokuwa na namba 915 iliyotolewa tarehe 28 Agosti, 1954. Lakini kwa kukisia tu kutokana na kadi ambayo Idd Faiz mwenyewe aliitoa kwa kaka yake Idd Tosiri ambayo ilikuwa kadi namba 25 na yenye saini yake kama afisa aliyetoa kadi hiyo, inaweza kuchukuliwa kwa uhakika kuwa Idd Faiz alikuwa miongoni mwa wale watu wa mwanzo kabisa kuingia TANU na huenda akawa miongoni mwa wanachama ishirini wa mwanzo. Ukichukua katika fikra ukweli kwamba Ali Mwinyi Tambwe aliyekuwa katibu wa Al Jamiatul Islamiyya aliingizwa TANU na Mtemvu katikati ya mwezi Agosti, 1954, huenda Ally Mwinyi kama katibu wa Al Jamiatul Islamiyya na Idd Faiz akiwa mweka hazina, wote wawili waliingia TANU wakati mmoja.''..
1954
''Kumbukumbu zinaonyesha kwamba Idd Faiz Mafongoalihudhuria mkutano wa uzinduzi wa TANU katika Ukumbi wa Arnautoglu. Haifahamiki kwa hakika hasa ni lini Idd Faiz alijiunga na TANU kwa sababu kadi yake ya kwanza ya uanachama ilipotea na akapewa kadi nyingine iliyokuwa na namba 915 iliyotolewa tarehe 28 Agosti, 1954. Lakini kwa kukisia tu kutokana na kadi ambayo Idd Faiz mwenyewe aliitoa kwa kaka yake Idd Tosiri ambayo ilikuwa kadi namba 25 na yenye saini yake kama afisa aliyetoa kadi hiyo, inaweza kuchukuliwa kwa uhakika kuwa Idd Faiz alikuwa miongoni mwa wale watu wa mwanzo kabisa kuingia TANU na huenda akawa miongoni mwa wanachama ishirini wa mwanzo. Ukichukua katika fikra ukweli kwamba Ali Mwinyi Tambwe aliyekuwa katibu wa Al Jamiatul Islamiyya aliingizwa TANU na Mtemvu katikati ya mwezi Agosti, 1954, huenda Ally Mwinyi kama katibu wa Al Jamiatul Islamiyya na Idd Faiz akiwa mweka hazina, wote wawili waliingia TANU wakati mmoja.''..
Baada ya Sheria ile kupitishwa na kuanza kutumika. Kukajitokeza kundi la Watu wasiokuwa na ulewa(Punguani) wakaendelea kupinga kwa kuleta maandiko yasiyokidhi Matakwa ya Jamii ile nalo kundi hilo likakosa Ushawishi katika jamii yake. Sheria ile inakaendelea kutawala Vizazi na Vizazi. Waerevu 20: 2-6
Al Watan,Hilo jibu kwa Faizafoxy.
Bado unanipiga chenga kunijibu kama Magufuli ataweza kula chapati kwa mchuzi Saigon.
Gangongine,"Upotoshaji" kwa tafsiri yao. Nafikiri unanielewa!
Kuntu kaka Mohamed SaidAl Watan,
Hapana mwenye kupiga chenga ni wewe kwani uzi huu unafahamika
mantiki yake lakini wewe unaleta mambo ambayo kwa kweli si ya
kiungwana.
Sijuia Saigon na chapati zinaingiaje hapa.
Kubwa naona unataka kufanya istizai kwa kutumia jina la rais.
Yako mengi naamini ya maana tunaweza tukajadili hapa hata kama
hatukubaliani kuliko haya unayoleta hapa hivi sasa.
Maalim Faiza kakuasa kuhusu kuhamisha magoli lakini inaelekea hutaki
kusikia wala kukatazika.
Ikiwa mjada huu ni mzito kwako huuwezi si lazima uchangie unaweza
ukabaki kuwa msomaji.
Wana Majlis,The lovers of romance can go elsewhere for satisfaction but where can the lovers of truth turn if not to history? ~Katharine Anthony
Kwamba anayetoa idhini ya kuchapisha anaweza kukataa kwa maoni kwamba kuna upotoshaji wa Historia. Lakini kumbe hakuna upotoshaji wowote ndani ya Makala husika bali ni tofauti ya mtazamo tu!Gangongine,
Hapana sijaelewa.
Nifafanulie kwa hisani yako.
Gangongine,Kwamba anayetoa idhini ya kuchapisha anaweza kukataa kwa maoni kwamba kuna upotoshaji wa Historia. Lakini kumbe hakuna upotoshaji wowote ndani ya Makala husika bali ni tofauti ya mtazamo tu!
Al Watan,Wewe link zako huchelewi kuniwekea virusi hata sikuamini.