Al-Watan
JF-Expert Member
- Apr 16, 2009
- 11,891
- 14,583
Al Watan,
Nilijua huwezi kufika mbali na mimi utaishia njiani.
Nilienda kulala Shehe. Trades zangu zilizoisha saa tisa usiku zilifanikiwa.
Asante kunipa company usiku mkubwa huku wakati nazilea positions zikue.
Hata wewe hunijibu mara mija maana una shughuli nyingine.
Halafu mbona unanijibu ninapomjibu Faizafoxy?
Shehe wewe ni Faizafoxy siku hizi?
Au unabadilisha ID na kuingia kama Faizafoxy halafu unasahau?
Maana majibu ninayomjibu Faizafoxy unanijibu mimi.
Kati yangu niliyekuuliza habari za Saigon ukakataa kunijibu na wewe uliyeshindwa kujibu, nani hawezi kufika mbali na mwenziwe?