Al Watan,
Nilijua huwezi kufika mbali na mimi utaishia njiani.
Nilienda kulala Shehe. Trades zangu zilizoisha saa tisa usiku zilifanikiwa.
Asante kunipa company usiku mkubwa huku wakati nazilea positions zikue.
Hata wewe hunijibu mara mija maana una shughuli nyingine.
Halafu mbona unanijibu ninapomjibu Faizafoxy?
Shehe wewe ni Faizafoxy siku hizi?
Au unabadilisha ID na kuingia kama Faizafoxy halafu unasahau?
Maana majibu ninayomjibu Faizafoxy unanijibu mimi.
Kati yangu niliyekuuliza habari za Saigon ukakataa kunijibu na wewe uliyeshindwa kujibu, nani hawezi kufika mbali na mwenziwe?
View attachment 536640
Kushuto: Idd Faiz Mafongo, Sheikh Mohamed Ramia, Julius Nyerere, Saadan Abdu Kandoro na Haruna Taratibu, Dodoma. Idd Faiz Mafongo alikuwa Mweka Hazina wa Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika na pi Mweka Hazina wa TANU chama kilikpoasisiwa 1954. Yeye ndiye aliyeaminiwa kukusanya fedha za safari ya kwanza ya Julius Nyerere UNO, New York 1955 - Mohamed Said
Mohamed Said Habari za Paul Rupia na mchango wake katika safari ya UNO unazo?
Nataka kukusanya historia ya Misheni Kota walikotoka wazee wetu.
Wanae na wajukuu zake nishazungumza nao sana. Waswahili walisema muwamba ngoma huvutia kwake.Al Watan nakushauri uzungumze na wanae wao watakuwa na mengi kuhusu mzee wao.
Al Watan,Wanae na wajukuu zake nishazungumza nao sana. Waswahili walisema muwamba ngoma huvutia kwake.
Ningependa kusikiliza kutoka kwa mwanahistoria wetu na muandika vitabu mahiri Mohamed Said nimsikie.
Maana sitegemei David McCullough aandike historia ya Paul Rupia (labda ya Paul Revere)
Na Mohamed Said akiandika historia ya Paul Revere na Camelot ya Hyannis Port napo nitashangaa.
Kama ninavyotaka kushangaa Mohamed Said kutotaka kuongelea habari za Paul Rupia na Misheni Kota.
You are a gentleman and a scholar.Al Watan,
Unamkusudia John Rupia.
Paul ni mwanae.
Anza na wanae hata kama watakuhadithia hilo la ''kuwamba ngoma,'' lisikuvunje
moyo.
Atawamba ngoma ipi ilhall hakuna asiyejua mchango wa Mzee Rupia katika
kupigani uhuru wa Tanganyika?
Wafadhili wa awali kuanzia TAA hadi TANU wanajulikana.
John Rupia, Dossa Aziz, Abdul Sykes na Ally Sykes.
Nyaraka nyingi za TANU zipo mikononi mwa watu na naamini wanawa wanaweza
wakakupatia nyaraka za mzee wao na picha.
Utu uzima dawa!You are a gentleman and a scholar.
Historia ima msaada mkubwa sana juu ya mabadiliko ya kesho ,Tazama mtu yule akajibu kwa lugha isiyoeleweka na tena haikuwa rasmi kwake ni lugha ya Watumwa basi wakashindwa kuelewana na Kikao kikaamua kupitisha Sheria ile ya "Historia ya jana haiwezi kubadili historia ya kesho" Waerevu 10: 2-4
Ila Mohamed Said kuna vitu anabania hata kwenye vitabu haandiki.Utu uzima dawa!
Al Watan,Ila Mohamed Said kuna vitu anabania hata kwenye vitabu haandiki.
Umesema mwenyewe hapa, mara kadhaa, ikiwamo habari za marehemu Mzee Kitwana Kondo.Al Watan,
Kipi kinachokufanya wewe uone kuwa kuna vitu nimeficha?
Al Watan,Umesema mwenyewe hapa, mara kadhaa, ikiwamo habari za marehemu Mzee Kitwana Kondo.
Lakini sikulaumu.
Napenda kusikiliza muziki, kuanzia magwiji unaowapenda kina West Montgomery mpaka mshairi wa HipHop Nas.
Nas, katika wimbo wake mmoja alisema "There's some ghetto secrets, I can't rhyme in this song".
Labda na wewe unafanya redaction kwenye habari zako kama Bob Woodward na Carl Bernstein walivyomsitiri "Deep Throat" jina lake halisi kutokana na kuwapa habari muhimu za kesi ya Watergate mpaka Mark Felt (Deep Throat) mwenyewe alivyojianika uzeeni kabisa.
Ila wakishatanguliaukisubiri kidogo kamaupoutupe habari, maana hata redacted classified documents huwa zinafikia siku zinaachiwa.
Kama zinasaidia basi tumia kutafuta dawa ya "Kirusi Cha Ukimwi" ili Watu wasife!Historia ima msaada mkubwa sana juu ya mabadiliko ya kesho ,
Nampenda sana Mzee Mohamed Said kwa majibu yake ya kiungwanaAl Watan,
Sasa nacheka peke yangu.
Hivi ulivyojifanya zuzu ulidhania wewe utaweza kunizuga mimi?
Lakini sijui kipi kimekufanya utoke shimoni kwako.
Kaka hakika nina mengi sijaweza kuyaweka hapa kwa ajili ya staha
na mengine kwa shida ya kupata ya upande wa pili.
Haya nimewaachia watafiti wengine waje kutafiti na kuandika.
Wazee wetu hawakuwa na makubwa na wala hawakupenda kupewa sifa kwani yote walioyoyafanya kwa hali na mali walitaka mkoloni aondoke tuu. Ndiyo maana hadi leo wengi hawajulikani na ukweli ni kwamba ukiondoa ile heshima ya kuitwa Diamond Jubillee kwenye mikutano ya Uongozi na wazee hakuna chochote kingine cha ziada.Tukisema tuandike historia.
Itakuwa ndeeefu yenye kusisimua...