JF Toons
Digital Art by JF
- Feb 19, 2024
- 33
- 73
Mtaniii,
Leo usiku zinatarajiwa kucheza mechi mbili za kihistoria ambapo Simba na Yanga zitakuwa ugenini kwenye ng'we ya pili ya robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa.
Simba wapo Misri kumenyana na Al Ahly wakitafuta kupindua meza baada ya kupoteza mchezo wa nyumbani kwa bao 1-0!
Yanga wapo Afrika Kusini kutafuta ushindi au sare ya magoli mbele ya miamba Mamelodi Sundowns ili wasonge mbele!
Nani unampa nafasi kutoboa hapa?