Si mnatukana kila siku Mabeberu sasa ngoja na kesho wazume internet kabisa hata humu hutakuja kulialia.Hebu wataalamu na wajuzi wa mambo wanisaidie. Toka jioni mitandao ya WhatsApp, Facebook na Instagram haifanyi kazi. Imesimama. Baadhi yetu kama Mimi biashara zangu zimesimama kwa sababu hiyo. Hivi nani atanifidia? Je, itapita tu eti wameomba radhi kwa usumbufu? TCRA kama regulator anatusaidiaje katika hili?
Nawasilisha!
TCRA na wao wamezimiwa.TCRA hana ubavu juu ya hili suala maana ni global
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
hizo sosho midia hazirudi tena
Wewe unailipia shilingi ngapiHebu wataalamu na wajuzi wa mambo wanisaidie. Toka jioni mitandao ya WhatsApp, Facebook na Instagram haifanyi kazi. Imesimama. Baadhi yetu kama Mimi biashara zangu zimesimama kwa sababu hiyo. Hivi nani atanifidia? Je, itapita tu eti wameomba radhi kwa usumbufu? TCRA kama regulator anatusaidiaje katika hili?
Nawasilisha!
Zimesharudi chalii yanguhizo sosho midia hazirudi tena
Embu jaribu ku file case alafu tutajua kama niHebu wataalamu na wajuzi wa mambo wanisaidie. Toka jioni mitandao ya WhatsApp, Facebook na Instagram haifanyi kazi. Imesimama. Baadhi yetu kama Mimi biashara zangu zimesimama kwa sababu hiyo. Hivi nani atanifidia? Je, itapita tu eti wameomba radhi kwa usumbufu? TCRA kama regulator anatusaidiaje katika hili?
Nawasilisha!
Uliingia nao mkataba na biashara zako?Hebu wataalamu na wajuzi wa mambo wanisaidie. Toka jioni mitandao ya WhatsApp, Facebook na Instagram haifanyi kazi. Imesimama. Baadhi yetu kama Mimi biashara zangu zimesimama kwa sababu hiyo. Hivi nani atanifidia? Je, itapita tu eti wameomba radhi kwa usumbufu? TCRA kama regulator anatusaidiaje katika hili?
Nawasilisha!
TCRA hawa regulate whatsappHebu wataalamu na wajuzi wa mambo wanisaidie. Toka jioni mitandao ya WhatsApp, Facebook na Instagram haifanyi kazi. Imesimama. Baadhi yetu kama Mimi biashara zangu zimesimama kwa sababu hiyo. Hivi nani atanifidia? Je, itapita tu eti wameomba radhi kwa usumbufu? TCRA kama regulator anatusaidiaje katika hili?
Nawasilisha!
Unao mkataba na whatsapp?Hebu wataalamu na wajuzi wa mambo wanisaidie. Toka jioni mitandao ya WhatsApp, Facebook na Instagram haifanyi kazi. Imesimama. Baadhi yetu kama Mimi biashara zangu zimesimama kwa sababu hiyo. Hivi nani atanifidia? Je, itapita tu eti wameomba radhi kwa usumbufu? TCRA kama regulator anatusaidiaje katika hili?
Nawasilisha!
Probably isirudi hasa Facebook
Hakuna biashara inayotegemea hzo media kias hicho...na kama ipo basi jarib kubadili mfumo..sabab utakuja juta siku1Hebu wataalamu na wajuzi wa mambo wanisaidie. Toka jioni mitandao ya WhatsApp, Facebook na Instagram haifanyi kazi. Imesimama. Baadhi yetu kama Mimi biashara zangu zimesimama kwa sababu hiyo. Hivi nani atanifidia? Je, itapita tu eti wameomba radhi kwa usumbufu? TCRA kama regulator anatusaidiaje katika hili?
Nawasilisha!
Proof yake ni ndefu sana pia kuna terms and conditions ulikuwa unaagree wakati unadownload application zinakubana wengi hatusomi na sijui kama kuna mtu anazosoma zile zinakubana ndio maana hawaogopi kufunga mitandao yao kama wanafanya marekebisho.Hebu wataalamu na wajuzi wa mambo wanisaidie. Toka jioni mitandao ya WhatsApp, Facebook na Instagram haifanyi kazi. Imesimama. Baadhi yetu kama Mimi biashara zangu zimesimama kwa sababu hiyo. Hivi nani atanifidia? Je, itapita tu eti wameomba radhi kwa usumbufu? TCRA kama regulator anatusaidiaje katika hili?
Nawasilisha!
Unawalipa chochote kwa kutumia huduma zao?Hebu wataalamu na wajuzi wa mambo wanisaidie. Toka jioni mitandao ya WhatsApp, Facebook na Instagram haifanyi kazi. Imesimama. Baadhi yetu kama Mimi biashara zangu zimesimama kwa sababu hiyo. Hivi nani atanifidia? Je, itapita tu eti wameomba radhi kwa usumbufu? TCRA kama regulator anatusaidiaje katika hili?
Nawasilisha!