Nani kulipa hasara hii ya WhatsApp?

Nani kulipa hasara hii ya WhatsApp?

Hebu wataalamu na wajuzi wa mambo wanisaidie. Toka jioni mitandao ya WhatsApp, Facebook na Instagram haifanyi kazi. Imesimama. Baadhi yetu kama Mimi biashara zangu zimesimama kwa sababu hiyo. Hivi nani atanifidia? Je, itapita tu eti wameomba radhi kwa usumbufu? TCRA kama regulator anatusaidiaje katika hili?
Nawasilisha!
Si mnatukana kila siku Mabeberu sasa ngoja na kesho wazume internet kabisa hata humu hutakuja kulialia.

Mabeberu wamezima mitandao.
 
Kijana wa Bavicha amekurupuka akijiandaa kuilaumu serikali

Sijui nani kamtonya kwamba ni dunia nzima, Kufuta ameshindwa kaishia kuwa mpole
 
Hebu wataalamu na wajuzi wa mambo wanisaidie. Toka jioni mitandao ya WhatsApp, Facebook na Instagram haifanyi kazi. Imesimama. Baadhi yetu kama Mimi biashara zangu zimesimama kwa sababu hiyo. Hivi nani atanifidia? Je, itapita tu eti wameomba radhi kwa usumbufu? TCRA kama regulator anatusaidiaje katika hili?
Nawasilisha!
Wewe unailipia shilingi ngapi
 
Embu jaribu ku file case alafu tutajua kama ni
 
Wasapu Walizimiwa umeme na tanesco,mpaka walipolipa deni na tozo la jengo.
 
Hebu wataalamu na wajuzi wa mambo wanisaidie. Toka jioni mitandao ya WhatsApp, Facebook na Instagram haifanyi kazi. Imesimama. Baadhi yetu kama Mimi biashara zangu zimesimama kwa sababu hiyo. Hivi nani atanifidia? Je, itapita tu eti wameomba radhi kwa usumbufu? TCRA kama regulator anatusaidiaje katika hili?
Nawasilisha!
Uliingia nao mkataba na biashara zako?
 
Hebu wataalamu na wajuzi wa mambo wanisaidie. Toka jioni mitandao ya WhatsApp, Facebook na Instagram haifanyi kazi. Imesimama. Baadhi yetu kama Mimi biashara zangu zimesimama kwa sababu hiyo. Hivi nani atanifidia? Je, itapita tu eti wameomba radhi kwa usumbufu? TCRA kama regulator anatusaidiaje katika hili?
Nawasilisha!
TCRA hawa regulate whatsapp

Systems down time ni jambo linaloweza kutokea kwenye mfumo wowote hata kwenye website ya TCRA

Kama unafanya biashara zako kupitia whatsapp, wewe ndio unayetakiwa kuwalipa whatsapp sio whatsapp kukulipa wewe (soma EULA)
 
Hebu wataalamu na wajuzi wa mambo wanisaidie. Toka jioni mitandao ya WhatsApp, Facebook na Instagram haifanyi kazi. Imesimama. Baadhi yetu kama Mimi biashara zangu zimesimama kwa sababu hiyo. Hivi nani atanifidia? Je, itapita tu eti wameomba radhi kwa usumbufu? TCRA kama regulator anatusaidiaje katika hili?
Nawasilisha!
Unao mkataba na whatsapp?
 
Tunaishi kwa kutofautiana. Wengine wanatumia Facebook kutengeneza hela ila wanaoutumia Facebook km sehemu ya umbeya lazima waombe isirudi.
Tumia mitandao ya kijamii kutengeneza hela na siyo kusoma umbeya. Hata JF unatumia kusoma umbeya.
Facebook, Telegram, Youtube, whatsApp na JF imesaidia sana kutengeneza pesa online.
Probably isirudi hasa Facebook
 
Hebu wataalamu na wajuzi wa mambo wanisaidie. Toka jioni mitandao ya WhatsApp, Facebook na Instagram haifanyi kazi. Imesimama. Baadhi yetu kama Mimi biashara zangu zimesimama kwa sababu hiyo. Hivi nani atanifidia? Je, itapita tu eti wameomba radhi kwa usumbufu? TCRA kama regulator anatusaidiaje katika hili?
Nawasilisha!
Hakuna biashara inayotegemea hzo media kias hicho...na kama ipo basi jarib kubadili mfumo..sabab utakuja juta siku1
 
Kwani hiyo WhatsApp unailipia? Akiamua kuifunga kabisa isioperate? Wewe unaetangaza biashara zako au kufanya kupitia WhatsApp unamlipa? Kuna Twitter, kuna Telegram kuna snapchat, tiktok si ungeenda huko kufanyia biashara zako!
 
Hebu wataalamu na wajuzi wa mambo wanisaidie. Toka jioni mitandao ya WhatsApp, Facebook na Instagram haifanyi kazi. Imesimama. Baadhi yetu kama Mimi biashara zangu zimesimama kwa sababu hiyo. Hivi nani atanifidia? Je, itapita tu eti wameomba radhi kwa usumbufu? TCRA kama regulator anatusaidiaje katika hili?
Nawasilisha!
Proof yake ni ndefu sana pia kuna terms and conditions ulikuwa unaagree wakati unadownload application zinakubana wengi hatusomi na sijui kama kuna mtu anazosoma zile zinakubana ndio maana hawaogopi kufunga mitandao yao kama wanafanya marekebisho.

Halafu unachodai nadhani hata gharama ya Lawyer wa kuipeleka Facebook, Instagram na Watsap Mahakamani haifiki sasa hapo inabidi ukubali tu kwamba imekula kwako unless ni mpare au mhaya wanapenda kesi 😃😃😃😃
 
Hebu wataalamu na wajuzi wa mambo wanisaidie. Toka jioni mitandao ya WhatsApp, Facebook na Instagram haifanyi kazi. Imesimama. Baadhi yetu kama Mimi biashara zangu zimesimama kwa sababu hiyo. Hivi nani atanifidia? Je, itapita tu eti wameomba radhi kwa usumbufu? TCRA kama regulator anatusaidiaje katika hili?
Nawasilisha!
Unawalipa chochote kwa kutumia huduma zao?

Kama jibu ni hapana.

Then unataka ulipwe nini?
 
Back
Top Bottom