Nani kuondolewa kwenye Baraza la Mawaziri lijalo?

Ccm ni ukoo wa panya usitarajie jambo la maana h
Mwigulu Nchemba atazimudu siasa za wizara ya ulinzi kama tetesi zinavyosema au ndo atakwenda kupeleka siasa za wizara kwenye Jeshi? Kwangu mimi huyu si mtu sahihi kwa wizara ya ulinzi. Mzee Mkuchika anatajwa pia kwenda Ulinzi, yes will be chaguo sahihi lakini Bado tunaamini ana health strength yakuhudumu Kama Waziri? Kwangu mimi Mzee aachwe apumzike tusimchoshe. Anatajwa Simbachawene kwenda Ulinzi na Masauni kwenda Mambo ya Ndani. Masauni No, Simbachawene Yes. Kwa muktadha wa bla bla zinazoendelea naomba niseme mabadiliko yafutayo yanaweza kuleta tija

Bi. Stergomena Tax Waziri wa fedha, Charles Kimei Naibu Waziri wa fedha. Kwangu hii chemistry haina siasa nyingi na itajenga nidhamu ya kitaasisi ndani na nje endapo watapewa uhuru.

Simbachawene wizara ya Ulinzi, akisaidiwa na Masauni. Ndugulile Afya huku January Makamba akienda Mawasiliano.

Mwigulu Nchemba uwekezaji huku Kitila Mkumbo, DOROTH GWAJIMA wakisubiri bench kuona kama kidogo gurudumu litasogea.
 
Hao mawaziri ni watumishi wa Raisi tuu na wanafanya wanachoambiwa hakuna jipya hapo wataleta zaidi ya kutekeleza wanayoambiwa na aliyewapa kazi
 
Avunje Baraza Zima ampumzisha Maja nafasi yake ichukuliwe na mtoto wa katibu mkuu wa chama mstaafu aliyeonywa na Bashr.
Huo ndio ushauri wa smiling face.
Au la dogo akikosa u pm apewe ulinzi ili kumuandaa kupanga magogoni come 2025
 
Habari za ndani sana za uhakika ni kuwa January Makamba anarudishwa kwenye baraza la mawaziri sasa, huenda akawa ni waziri wa Afya. Dr. Tax anaingizwa baraza la mawaziri (lakini sio wizara ya Fedha!). Wizara ya Ulinzi anapewa Mnzanzibar. Na huenda Ummy Mwalimu akawa waziri wa fedha.

Hizo ni tetesi rasmi.
Kwa ummy mwalimu kupewa hiyo wizara naunga mkono Mwigulu kukaa pale amekaa kiupigaji tu ndio maana posho zisizo na kichwa wala miguu zinatoka tu.
 
Yaani Mkuchika umpeleke Ulinzi ni sawa na hii kauli maarufu ya diblo dibala hapa chini[emoji1313][emoji1313][emoji1313]

View attachment 1934030
Umenichekeshaaaaa halafu umenikumbusha mama yangu alinipigia simu kuniambia nasikia magufuli anaumwa sana nikamwambia mama achana na maneno ya mtaani magu mzima si unaona hata waziri mkuu kasema? Nilivyokua namwamini huyu kiumbe dah! Sijawahi kumuamini tena
 
Habari za ndani sana za uhakika ni kuwa January Makamba anarudishwa kwenye baraza la mawaziri sasa, huenda akawa ni waziri wa Afya. Dr. Tax anaingizwa baraza la mawaziri (lakini sio wizara ya Fedha!). Wizara ya Ulinzi anapewa Mnzanzibar. Na huenda Ummy Mwalimu akawa waziri wa fedha.

Hizo ni tetesi rasmi.
Khaaa sasa tena odo umi kaanza juz tu tamisem hata hajamaliza anaendaje fedha? Mama naye atachemka! Abadili wale wanaoshindwa tu kama kina hasan aka chemba ya fedha
 
Mwigulu Nchemba atazimudu siasa za wizara ya ulinzi kama tetesi zinavyosema au ndo atakwenda kupeleka siasa za wizara kwenye Jeshi? Kwangu mimi huyu si mtu sahihi kwa wizara ya ulinzi. Mzee Mkuchika anatajwa pia kwenda Ulinzi, yes will be chaguo sahihi lakini Bado tunaamini ana health strength yakuhudumu Kama Waziri? Kwangu mimi Mzee aachwe apumzike tusimchoshe. Anatajwa Simbachawene kwenda Ulinzi na Masauni kwenda Mambo ya Ndani. Masauni No, Simbachawene Yes. Kwa muktadha wa bla bla zinazoendelea naomba niseme mabadiliko yafutayo yanaweza kuleta tija

Bi. Stergomena Tax Waziri wa fedha, Charles Kimei Naibu Waziri wa fedha. Kwangu hii chemistry haina siasa nyingi na itajenga nidhamu ya kitaasisi ndani na nje endapo watapewa uhuru.

Simbachawene wizara ya Ulinzi, akisaidiwa na Masauni. Ndugulile Afya huku January Makamba akienda Mawasiliano.

Mwigulu Nchemba uwekezaji huku Kitila Mkumbo, DOROTH GWAJIMA wakisubiri bench kuona kama kidogo gurudumu litasogea.

mwigulu hafahi kuwa hata barozi wa nyumba 10
 
Simbachawene katulia sana anafaa kuwa huko.
 
Habari za ndani sana za uhakika ni kuwa January Makamba anarudishwa kwenye baraza la mawaziri sasa, huenda akawa ni waziri wa Afya. Dr. Tax anaingizwa baraza la mawaziri (lakini sio wizara ya Fedha!). Wizara ya Ulinzi anapewa Mnzanzibar. Na huenda Ummy Mwalimu akawa waziri wa fedha.

Hizo ni tetesi rasmi.
Prof Mbarawa?
 
Back
Top Bottom