Nani kuondolewa kwenye Baraza la Mawaziri lijalo?

Inaanzishwa wizara mpya ya Sanaa, Historia na Utamaduni!
 
January Makamba na Mwigulu Nchemba ndiyo wale walitia nia ya kugombania Urais mwaka 2015 lakini kura hazikutosha kwenye Mkutano Mkuu wa CCM Chimwaga.Haya na kazi iendelee
 
Huyo ummi sioni anachokifanya zaidi ya kudemka tu.
 
Alipokuwepo alifanya nn cha maana Makamba?? Mwigulu kuendelea kuwepo pale hapana aisee, tozo si wazo lake ni wazo la mwanajamii F
 
Mwigulu this time sina uhakika namuona akirudi Jimboni
 
Jembe butu hilo.

Yule dogo hata ukimuangalia usoni na machoni unaona ana agenda za kimkakati zilizojificha kwenye paji lake la uso.

Anajifanya anaongea Kiswahili fasaha chenye nukta lakini moyo wake una kutu chafu.

He is a fraudulent fella.
Punguza chuki
 
Matatizo yetu makubwa sio ya kiuchumi ni ya kisiasa, unless huyo mama wa kizanzibar aamue kufanya siasa safi we are doomed. atabadiri mawaziri sana na ataishia kuwa na frustration zisizoisha.
 
1.Mwigu
2. Bi-tukinao- Wa afya
3. Babu -Madenge- Naibu Afya
 
Wakwanza wamtoe ndalichako, sifuri kabisa huyu mama
 
SALIMU MWALIMU - ULINZI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…