Nani kuondolewa kwenye Baraza la Mawaziri lijalo?

Ummy mwalimu waziri wa fedha???????? Kuwa serious kidogo mkuu
 
Tabasamu apewe wizara ya nishati yupo vizuri nje ya kichwa chake.
 
Kitu tetesi hakiwezi kuwa rasmi!!

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
KWANI LAZIMA AONDOLEWE MTU? INAWEZA KUUNDWA WIZARA MPYA

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Steve
Babu Tale Fedha.
 
Huyu Ummy si ndio alikuja na wazo (brain storming) hili la ajabu la Kodi ya Miamala ? Kwa mawazo yake haya bora akae mbali na hii Wizara nyeti, sidhani kama tupo tayari kwa her brilliant ideas kwa sasa (ngoja kwanza tupumue)
 
January Makamba huyu huyu aliyetuletea miswaada ya kubinywa uhuru wa mitandao ya kijamii au mwingine, kwanini tutumie walewale na tusiwe na matoleo mapya, hawa hawana jipya tumewachoka
 
Umeenda vizuri ukaharibu mawasiliano, apewe yule NW ni kiboko aisee, Makamba apelekwe kwingine ila sio fedha,mambo ya ndani, ulinzi,madini, mawasiliano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…