Nani kuondolewa kwenye Baraza la Mawaziri lijalo?

Baraza jipya linaweza kuacha kilio kwa watanzania wapenda maendeleo kwa kuachwa kwa mtu muhimu sana ,likini January na Ridhi wataula
 
Mkuuu hapo kwa ummy mwalimu niache kidogo na january kwwnda afya niache nashuka nimefika
 
Mkuu vipi kwenye maono yako ujamuona mtumishi Rashid kweli?
 
Baraza jipya linaweza kuacha kilio kwa watanzania wapenda maendeleo kwa kuachwa kwa mtu muhimu sana ,likini January na Ridhi wataula
Hapo kwa Ridhi mmmh labda fadhila za msogani ila hakuna kitu pale tunaenda kupigwa ndani na njeee
 
Hapo Pa Wizara ya Ulinzi anapewa Mzanzibari Ni Kama nimepaelewa
 
Hili baraza bado lina watu wanashangaza sitaki kuamini Uwepo wa Ndalichako Kwenye Wizara nyeti kama Elimu
 
Mmh
 
Matatizo yetu makubwa sio ya kiuchumi ni ya kisiasa, unless huyo mama wa kizanzibar aamue kufanya siasa safi we are doomed. atabadiri mawaziri sana na ataishia kuwa na frustration zisizoisha.
Comment yako Kama ya kibaguzi na ya chuki kwa mama... Achana na chuki ndugu yangu..nchi ni yetu sote na kikubwa ni kupendana na kuvumiliana kwenye tofauti zetu na misimamo yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…