Chuki itakosekana vipi Kama watu wanabambikiwa kesi za michongo,Comment yako Kama ya kibaguzi na ya chuki kwa mama... Achana na chuki ndugu yangu..nchi ni yetu sote na kikubwa ni kupendana na kuvumiliana kwenye tofauti zetu na misimamo yetu
Kwa Mtazamo na maono yangu mama angewaingiza Mwanri na Makonda kwenye baraza lake la mawaziri ni watu wangemsaidia sana..Makonda pamoja na Makando kando yake..bado ni kiongozi mzuri akipewa wizara ya mambo ya ndani na Mwanri akapewa Tamisemi..watafanya kazi nzuriNext PM Tax kwa sasa wanamjengea ushawishi wa kisiasa kupitia Bung
Safari ni hatua mkuu..mama amewapa upinzani unafuu sana..sikatai Kuna baadhi ya mambo bado kuyaweka vizuri..Ila kwa mtazamo wangu..upinzani ulipo leo ni pazuri kuliko Jana..Kikubwa mpeni mama ushirikiano..na nyie atawapa ushirikiano..usishangae hata mbele ya Safari akawajumuisha kwenye serikali yake...Chuki itakosekana vipi Kama watu wanabambikiwa kesi za michongo,
Kama kura zinaibiwa waziwazi, Kama uchaguzi wa 2019 ulikua haramu, Kama uchaguzi wa 2020 ulikua batili, Kama watu wanapolewa bahahiri kwenye sandarusi, Kama kina Gwandu mpaka leo hawajulikani walipo, Kama hata mikutano ya ndani ya nyumba inakatazwa lkn yenu ruksa?
Deceiver mkuu wa wilaya Kongwa.Safari ni hatua mkuu..mama amewapa upinzani unafuu sana..sikatai Kuna baadhi ya mambo bado kuyaweka vizuri..Ila kwa mtazamo wangu..upinzani ulipo leo ni pazuri kuliko Jana..Kikubwa mpeni mama ushirikiano..na nyie atawapa ushirikiano..usishangae hata mbele ya Safari akawajumuisha kwenye serikali yake...
sasa umeona kwamba frustrations zake za 2025 zinapolielekeza Taifa. Bunge ni muhili unaojitegemea, inakuaje speaker anajihudhuru kwa sababu ametofautiana na Rais?Comment yako Kama ya kibaguzi na ya chuki kwa mama... Achana na chuki ndugu yangu..nchi ni yetu sote na kikubwa ni kupendana na kuvumiliana kwenye tofauti zetu na misimamo yetu
TECNO ya tochi out
Kipara namba tatu
Ndaki out
Nonsense out
Banker in
You can take this list to any bank
Hili baraza bado lina watu wanashangaza sitaki kuamini Uwepo wa Ndalichako Kwenye Wizara nyeti kama Elimu
Joy is a disgrace to this country.Joyce arudishe mfumo wa Point madogo wanafaulishwa sana siku hizi.
Darasa la 7 wapewe mitihani wajaze karatasi nyeupe sio maswali ya kuchagua mpaka kwenye hesabu
Lakini kilichomtokea Sitta si hata wewe Ni shahidi.sasa umeona kwamba frustrations zake za 2025 zinapolielekeza Taifa. Bunge ni muhili unaojitegemea, inakuaje speaker anajihudhuru kwa sababu ametofautiana na Rais?
Mbona Mzee Sitta alitofautiana na Kikwete hakujiudhuru kwa aibu namna hii.
Na yule mrundi wa madini.Bashe...out ...