Elections 2010 Nani kuukwaa uwaziri mkuu?

Elections 2010 Nani kuukwaa uwaziri mkuu?

Status
Not open for further replies.
Mtembezi katika tembea tembea yangu kama ilvyo ada nimefanikiwa kunusa KIGOGO mmoja aliyekaribu na IKULU anadai jina la waziri mkuu mpya ni SHAMSI VUAI NAHODHA wana jamvi mpo?
it is sad when people are concerned about our country halafu chakubanga mmoja analeta utani... ungepost kwenye jukwaa la utani aisee
 
sikuwahi kuvutiwa na utendaji wake na hasa kauli zake tata, na sidhani kama anaweza kumchallenge Jk kwenye mambo yanayohitaji maamuzi magumu
 
hahahaha JK anaogopa kuweka wazi kwakuwa hata Bunge sijui kama litalidhia
 
Huyu si aliitwa nyoka wa mdimu?

greenmamba4.jpg
 
sikuwahi kuvutiwa na utendaji wake na hasa kauli zake tata, na sidhani kama anaweza kumchallenge Jk kwenye mambo yanayohitaji maamuzi magumu

Ni mtu wa theory kwa sana kuliko vitendo na kaifanya siasa kuwa jumba la sanaa!
 
Wananchi wa Tanzania wanaendelea kuwa maskini. Hawawezi kula KAULI MBIU. Hawahitaji sana mchapakazi, wanahitaji OUTCOME! Je, Waziri mtajwa aliwahi kuwatendea nini watanzania ukiacha mambo ya kauli mbiu? Kumbuka, hata mafisadi ni wazuri kwa kauli mbiu, kadhalika ni wazuri sana kwa kuchapa kazi! Je, sifa gani za ziada za kumQUALIFY kuwa PM?

Hii ni kwa faida ya wasomaji pls!
 
Nilichogundua Ikulu inaitumia jamii forum kama kipimajoto. Nakukuhakikishia angalau 90% ya majina yanayoletwa hapa JF yanatoka jikoni na kupima reaction. Come BM or any other dudu washa aint matter! Tunataka demokrasia na Rais aliyechaguliwa na watu basi!
 
Ila Mizengwe kama anarudia chaka lake ni lazima sasa awe "uso wa mbuzi" (serious) by vitendo asiwe waziri mkuu wa kunyenyekea nyenyekea kwa hao mafisi maji
na kulia atamuachia nani?
 
Ila Mizengwe kama anarudia chaka lake ni lazima sasa awe "uso wa mbuzi" (serious) by vitendo asiwe waziri mkuu wa kunyenyekea nyenyekea kwa hao mafisi maji

Hawezi acha tabia yake ya kulia lia ki ukweli SIAMINI KAMA ATARUDI, huyu isha kula kwake, namini kama angekuwa anarudi jina lingesha tajwa saa hizi.
 
Wananchi wa Tanzania wanaendelea kuwa maskini. Hawawezi kula KAULI MBIU. Hawahitaji sana mchapakazi, wanahitaji OUTCOME! Je, Waziri mtajwa aliwahi kuwatendea nini watanzania ukiacha mambo ya kauli mbiu? Kumbuka, hata mafisadi ni wazuri kwa kauli mbiu, kadhalika ni wazuri sana kwa kuchapa kazi! Je, sifa gani za ziada za kumQUALIFY kuwa PM?

Hii ni kwa faida ya wasomaji pls!

Tangible outcome!!!
 
Ni mtu wa theory kwa sana kuliko vitendo na kaifanya siasa kuwa jumba la sanaa!
na ndio wasiwasi wangu, tunahitaji mshika bakora

hivi magufuli amekosa nini kwa JK?
 
:doh::bowl: kaka punguza wasi wasi tuwe na subra waache wafanye madudu 2015 namaba yetu
Conquest-hata nyuki wanahama ktk mzinga:tape:
 
You sound precise but very inaccurate! You can come for USD1000 if he becomes one!
 
na ndio wasiwasi wangu, tunahitaji mshika bakora

hivi magufuli amekosa nini kwa JK?

Nionavyo ni kutokuwa mwanamtandao na wanamwogopa huenda akawafunika 2015- provided watasimamisha fisadi mwenzao!
 
na ndio wasiwasi wangu, tunahitaji mshika bakora

hivi magufuli amekosa nini kwa JK?

Magufuli mtendaji kweli,alimfunika JK ndo maana akatupwa kupambana na wakojani kwenye uvuvi!!
u no war i mean!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom