it is sad when people are concerned about our country halafu chakubanga mmoja analeta utani... ungepost kwenye jukwaa la utani aiseeMtembezi katika tembea tembea yangu kama ilvyo ada nimefanikiwa kunusa KIGOGO mmoja aliyekaribu na IKULU anadai jina la waziri mkuu mpya ni SHAMSI VUAI NAHODHA wana jamvi mpo?
sikuwahi kuvutiwa na utendaji wake na hasa kauli zake tata, na sidhani kama anaweza kumchallenge Jk kwenye mambo yanayohitaji maamuzi magumu
vuai kapewa uwaziri jana na dr. Shein - jaribu tena jina lingine!
na kulia atamuachia nani?Ila Mizengwe kama anarudia chaka lake ni lazima sasa awe "uso wa mbuzi" (serious) by vitendo asiwe waziri mkuu wa kunyenyekea nyenyekea kwa hao mafisi maji
Ila Mizengwe kama anarudia chaka lake ni lazima sasa awe "uso wa mbuzi" (serious) by vitendo asiwe waziri mkuu wa kunyenyekea nyenyekea kwa hao mafisi maji
Wananchi wa Tanzania wanaendelea kuwa maskini. Hawawezi kula KAULI MBIU. Hawahitaji sana mchapakazi, wanahitaji OUTCOME! Je, Waziri mtajwa aliwahi kuwatendea nini watanzania ukiacha mambo ya kauli mbiu? Kumbuka, hata mafisadi ni wazuri kwa kauli mbiu, kadhalika ni wazuri sana kwa kuchapa kazi! Je, sifa gani za ziada za kumQUALIFY kuwa PM?
Hii ni kwa faida ya wasomaji pls!
na ndio wasiwasi wangu, tunahitaji mshika bakoraNi mtu wa theory kwa sana kuliko vitendo na kaifanya siasa kuwa jumba la sanaa!
na ndio wasiwasi wangu, tunahitaji mshika bakora
hivi magufuli amekosa nini kwa JK?
na ndio wasiwasi wangu, tunahitaji mshika bakora
hivi magufuli amekosa nini kwa jk?
na ndio wasiwasi wangu, tunahitaji mshika bakora
hivi magufuli amekosa nini kwa JK?
aliuza nyumba za serikali.....!
na ndio wasiwasi wangu, tunahitaji mshika bakora
hivi magufuli amekosa nini kwa JK?