Sita alikuwa na unafiki, hakuwa moto wala baridi, alikuwa vuguvugu, sasa kiongozi wa hivyo hafai, hata bible imesema atatapikwa. Ukifuatilia mambo mengine ya kipuuzi aliyowafanyia wapinzani utagundua kuwa he was not very good kwao. Zito Kabwe kusimamishwa, mzee wa Mapesa, aliamuriwa akae chini kama kinda. Halafu baada ya kutishiwa kunyanganywa kadi, akauzima mjadala wa Richmond, so hana msimamo, na pia kuna madai ya ubadhirifu na umangi meza.
Kuna madai ya kujipatia expensive furnitures, kujenga ofisi kubwa ya mbunge huko urambo kwa watu maskini kupita sehemu nyingine yeyote. Pia yapo madai ya matumizi mabaya ya magari ya serekali kuhudumia vijumba vidogo etc. So nadhani CCM ilikuwa na kila sababu ya kumtupa. CCM inajua ni nani fisadi na ni nani sio, kimtazamo wangu nadhani Six ni fisadi pia, period!!Well done CCM