Pre GE2025 Nani kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara baada ya Mzee Kinana kujiuzulu?

Pre GE2025 Nani kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara baada ya Mzee Kinana kujiuzulu?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hakuna mpinzani anaweza kupata. Nimemsema Msigwa ili kuwakomoa chadema, then baadaye wanamtupa.

Hivi kweli Kinana amejiuzulu au kuna mambo hayako sawa na samia, makamba . Nape hilo ni Bumunda tu
 
Back
Top Bottom