Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Nyomi zote anazozoaga kila pahala panapoitwa mkutano ama kikao, wote hao huwaga ni haters?makonda watakuwa wanakiua chama. makonda is not a favorite of majority CCM members those who are intelligent!
Intelligent members ndiyo wanachama wa namna gani, au ni wanachama wa kufikirika?