Pre GE2025 Nani kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara baada ya Mzee Kinana kujiuzulu?

Pre GE2025 Nani kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara baada ya Mzee Kinana kujiuzulu?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Bashiru hapana alitaka Samia asiwe rais, hivyo hawezi kumteua kuwa makamu wake.
CCM wanasheria yao, kuleta kiboko ya kundi lingine

Samia wanted to balance something, ila imemtokea Puani.

alimuweka Makonda + Nchimbi + Kinana yaani hawa walikuwaga tofauti hata kabla ya 2015, wawili wametoka wamemuacha Nchimbi.
 
Lucas Mwashambwa
1722273816903.jpeg

huyu hapana
 
Back
Top Bottom