Pre GE2025 Nani kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara baada ya Mzee Kinana kujiuzulu?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hapa syo lumumba
 
Niwakati sasa Mwenyekiti wa CCM Dr.Samia na Wajumbe kumtumia BabΓ  Lukuvi kwenye nafasi ya Makamu mwenyekiti wa Chama Bara.

Sifa zake ni hizi.
1.Mzoefu ndani ya Chama na siasa za Tanzania
2.Umaarufu wa
2.Weredi na utulivu wake kisiasa
 
Spika Mstaafu Anna Semamba Makinda anafaa kumsaidia Mwenyekiti wetu CCM. Arejeshwe aendeleze utekelezaji wa ilani ya Chama 2020-2025. Asanteni
 
Mimi nabashiri MsigwaπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›

PIA SOMA
- Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti (CCM) Ajiuzulu, Rais Samia Suluhu Aridhia
Msigwa????CCM itapasuka vipande vipande na haitainuka tena.People have been in CCM all their lives halafu leo aje mgeni ambaye hajakifanyia chama chochote awe Makamu Mwenyekiti!!!!! Mimi ni mwana CCM inactive,for obvious reasons,lakini naomba niseme hivi,it will be a very irrational thing to do na matusi kwa wana CCM kwa ujumla wao,pamoja na uhovyo wao kumweka Msigwa awe Makamu mzaidizi wa CCM,hata kama hiyo post ni sort of symbolical.Lakini as you have rightly said anything is possible with CCM(Chama Cha Majambazi).
 
si wanataka kuwakomoa chadema......mbona kuna MaDc wakati vijana waliokifia chama wako benchi.... au position ya Makamu Mkiti ni muhimu sana may be1 CCM lolote inawezekana
 
si wanataka kuwakomoa chadema......mbona kuna MaDc wakati vijana waliokifia chama wako benchi.... au position ya Makamu Mkiti ni muhimu sana may be1 CCM lolote inawezekana
Ndio maana tunasema CCM ni ya mandondocha,inawafaa wenyewe.Unafanya kitu ili kumkomoa mwingine,how small minded.
 
Ndiyo tutakuwa tunaelekea kurasimisha mfumo jike kabisa.
Already mfumo dume umesimamishwa mkuu.Kama una a woman President what else do you need.Satan has given Eve(a k.a.Samia) all the tools she needs to advance his kingdom in Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…