Pre GE2025 Nani kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara baada ya Mzee Kinana kujiuzulu?

Pre GE2025 Nani kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara baada ya Mzee Kinana kujiuzulu?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
1000266050.jpg
 
Bashiru ana kisasi na team Kikwete kwahiyo anaweza faa kutokana na uzoefu wake kuwafanya wastaafu waishi kama mashetani. Na ni mzoefu wa kutumia nguvu za dola.
Bashiru akija ni mchawi mpe mwana akulelee. Hawezi kuwa adui wa kudumu wa Samia, btw sidhani kama Bashiru anaona heri team January kumpata Rais. Hapendi vilaza, sasa kwake si bora kumalizia kuliko kuanza upya.
Lukuvi au Pinda atafaa kwa 4R ni mustaarabu sana.
 
Karibu tutoe maoni yetu hapa,

Nimeona maoni mbalimbali hasa kwenye groups za Whatsapp haya majina saba yametajwa mara nyingi zaidi.

Ni bora sasa iwepo Poll ili kulishindanisha Kila kundi,

Jinsi ya kupigakura,

Veka tiki kwa Mwanachama unayemwamini zaidi

Kisha shuka chini sehemu imeandikwa "Cast vote" bonyeza hapo.
Unatuwekea watu unaowataka wewe Kisha unataka tupige kura??

Pokea kwanza maoni ya Wana Jf, chambua na chuja! Then wanaobaki tuletee tuwapigie kura!!

Mbona hapo hujaweka jina la mchepuko wa Lucas?
 
Back
Top Bottom