Nani kuziba pengo la Elias Kwandikwa?

January ni kama vile huwa anatiwa gundu, tangu aanze kubetiwa mkeka haujawahi kutiki hata mara moja....mara atagombea urais, mara atakuwa waziri... ila kote huko chali
 
Wafweee wote

Who cares about these CCM henchmen?

Mauaji na mama yao a female version of useless Magu

They will all die for fear of Democracy.....still watafuata kibao!
Wyatt ni ngumu sana kumpata mtu tunayemuhitaji, ni ngumu sana. Kwa sasa tunaweza kupata mwenye unafuu kuliko yule..
 
Wampe Joseph Kasheku Msukuma au Martin Shigella. Hii wizara haitaki mtu mwenye papala papala, ila kwa hawa watu wawili, mama atafanya kazi vizuri sana.
 



Watatumia hii kumwamisha Mwigulu ili nafasi yake ichukuliwe na Kimei
 
Ukiitwa Mchawi utachukia? Yaani Msiba hata hauna Masaa Matatu tokea Watanzania tutangaziwe ( tutaarifiwe ) Liswahili Limoja linaacha Kusikitika na Kuomboleza Kwanza lenyewe linakimbilia Kuhoji nani atachukua nafasi yake. Shame on You..!!!
Sasa nchi haiwezi kwenda mbele bila waziri wa ulinzi......kufa kufaana izi kazi za kuajiriwa na kuteuliwa hazina urithi kabisa ukifa tu kuna watu ndio fursa kwao
 
Shame on you mwenyewe!!!!!!
Tuache kuangalia maslahi ya taifa utung'ang'anize tusubiri msiba mbona issue ya hayati magufuli mama samia hakusubiri azikwe ndo awe rais.
Mtu akishakufa taifa halijafa!!!!!! Shame on you Tena.
Be sensitive basiiii

ndugu na marafiki wake wa Karibu tupo

tunaomba utupe basi hata muda tupumue na kushukuru Mungu tafadhali

weka utu kidogo
 
Taifa hili limekumbwa na nn jamani.
Mtu hata hajatolewa kwenye majokofu hapo lugalo mnajadili nani wa kumrithi?
Nn hiki mnapenda kwenye jamii
Huu ndiyo utanzania/ utu wetu
 
Makamba na jafo hapana,hapa anatakiwa au awekwe mzanzibar tu,kuimarisha muungano
 
Wampe Joseph Kasheku Msukuma au Martin Shigella. Hii wizara haitaki mtu mwenye papala papala, ila kwa hawa watu wawili, mama atafanya kazi vizuri sana.
Duuuuuuuuuuuuu msukuma awe waziri ? Tena wa ulinzi? Looooh ....BIG NO.
 
Mimi naona apewe doroth gwajima[emoji13]
 
Mtu mtulivu na asiye msukuma......wasukuma enough is enough!!!
 
KIMEI
 
Hivi ni nani anafaa kuchukua nafasi ya hayati kwandikwa? Namaanisha pale wizara ya ulinzi na jeshi la kujenga taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…