Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
January ni kama vile huwa anatiwa gundu, tangu aanze kubetiwa mkeka haujawahi kutiki hata mara moja....mara atagombea urais, mara atakuwa waziri... ila kote huko chali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ivi mmemsikia huyu au mme comment tuuuuu 😂Sioni faida yoyote ya kuwa na waziri wa ulinzi, ikiwa hamna hata mmoja aliyewahi kuilinda nchi dhidi ya wahuni na vibaka wa CCM kama kina Sabaya, Bashite n.k
Wyatt ni ngumu sana kumpata mtu tunayemuhitaji, ni ngumu sana. Kwa sasa tunaweza kupata mwenye unafuu kuliko yule..Wafweee wote
Who cares about these CCM henchmen?
Mauaji na mama yao a female version of useless Magu
They will all die for fear of Democracy.....still watafuata kibao!
Kifo kimeonesha mwisho wa Elias Kwandikwa mbunge wa Ushetu CCM na Kama ilivyo kwa nafasi za kuteuliwa mh Rais atatakiwa kumteuwa Waziri mwingine kuziba nafasi yake.
Sifa za mtu kuteuliwa kushika nafasi ya Waziri wa Ulinzi na jeshi la Kujenga Taifa hupaswa kuwa zifuatazo.
1. Mtu mwenye hofu ya Mungu.
2. Mtu mwaminifu Sana kwa rais
3. Mzalendo wa ukweli
4. Mpore asiye na makeke na mdomo kasuku
5. Mwenye elimu isiyo ya kuungaunga
6. Anaeuona muungano kama Lulu ya kitaifa
7. Asiyekuwa na matabaka
8. Asiyekuwa na kibri
9. Anayejiamini kila anachofanya asiwe mwoga
10. Mwenye kuijua vema misingi ya amani ya taifa hili.
Wanaotajwa kuziba nafasi hii
1 . Shamsi Vuai Nahodha
2. January Makamba
3. Seleman Jafo
Je, wewe unadhani wanafaa?
USSR
Sasa nchi haiwezi kwenda mbele bila waziri wa ulinzi......kufa kufaana izi kazi za kuajiriwa na kuteuliwa hazina urithi kabisa ukifa tu kuna watu ndio fursa kwaoUkiitwa Mchawi utachukia? Yaani Msiba hata hauna Masaa Matatu tokea Watanzania tutangaziwe ( tutaarifiwe ) Liswahili Limoja linaacha Kusikitika na Kuomboleza Kwanza lenyewe linakimbilia Kuhoji nani atachukua nafasi yake. Shame on You..!!!
Be sensitive basiiiiShame on you mwenyewe!!!!!!
Tuache kuangalia maslahi ya taifa utung'ang'anize tusubiri msiba mbona issue ya hayati magufuli mama samia hakusubiri azikwe ndo awe rais.
Mtu akishakufa taifa halijafa!!!!!! Shame on you Tena.
Mkuu umestarabika kweli au unataka tubishane tu..
Kwenu unaletaga haya malumbano kwmba maisha lazma yaendele ikitokea misiba,,
Kama hapana bas acha waziri apumzishwe kwanza..
Kwanini lazima awe muunguja?Atakuwa Muunguja tu.
Am sorry bro,pole sanaBe sensitive basiiii
ndugu na marafiki wake wa Karibu tupo
tunaomba utupe basi hata muda tupumue na kushukuru Mungu tafadhali
weka utu kidogo
Duuuuuuuuuuuuu msukuma awe waziri ? Tena wa ulinzi? Looooh ....BIG NO.Wampe Joseph Kasheku Msukuma au Martin Shigella. Hii wizara haitaki mtu mwenye papala papala, ila kwa hawa watu wawili, mama atafanya kazi vizuri sana.
KIMEIKifo kimeonesha mwisho wa Elias Kwandikwa mbunge wa Ushetu CCM na Kama ilivyo kwa nafasi za kuteuliwa mh Rais atatakiwa kumteuwa Waziri mwingine kuziba nafasi yake.
Sifa za mtu kuteuliwa kushika nafasi ya Waziri wa Ulinzi na jeshi la Kujenga Taifa hupaswa kuwa zifuatazo.
1. Mtu mwenye hofu ya Mungu.
2. Mtu mwaminifu Sana kwa rais
3. Mzalendo wa ukweli
4. Mpore asiye na makeke na mdomo kasuku
5. Mwenye elimu isiyo ya kuungaunga
6. Anaeuona muungano kama Lulu ya kitaifa
7. Asiyekuwa na matabaka
8. Asiyekuwa na kibri
9. Anayejiamini kila anachofanya asiwe mwoga
10. Mwenye kuijua vema misingi ya amani ya taifa hili.
Wanaotajwa kuziba nafasi hii
1 . Shamsi Vuai Nahodha
2. January Makamba
3. Seleman Jafo
Je, wewe unadhani wanafaa?
USSR