hambiliki mwanangu
Senior Member
- Feb 9, 2016
- 113
- 123
Mkuu kuna Mahala hapa napingana na maneno yako, Nyimbo ya Mtazamo ilirekodiwa baada ya mashindano kuisha na ilikua ni kuthibitishia mashabiki kwamba hawana beef tena kati yao.
Na swala la kutoonekana kwenye video ilikua bahati mbaya tu kwa Prof Jay ndio alishindwa fika location siku hiyo maana alikua kikazi Tanga nadhani.
Solo Thang alikuepo na video walishoot morogoro ingia YouTube kaangalie vizuri tena mkuu.
Mtazamo ndio ilianza mkuu!! Na hata ukitafuta magazeti ya kipind hiko ya Global publishers utakuta pale kwenye shindano la mfalme wa rhymes kwa afande wimbo ni mtazamo