Nani kwa Hakika alistaili ufalme wa rhymes ~2004?


Mtazamo ndio ilianza mkuu!! Na hata ukitafuta magazeti ya kipind hiko ya Global publishers utakuta pale kwenye shindano la mfalme wa rhymes kwa afande wimbo ni mtazamo
 
Wi
Acha kupotosha, Darubin kali ndiyo wimbo uliompa ushindi Afande Sele.
Wimbo alioingia nao kinyang'anyironi ulikuwa MTAZAMO, Ila ilipofika hatua ya fainali ndio akaperform huo DARUBINI KALI.

Ikumbukwe shindano lilikuwa linaitwa mkali wa vina, sasa kwenye masuala ya vina, Solo Thang alikuwa ni hatari sana, vina mwanzo kati na mwisho.
 
mzee baba, Fid Q kwa mwaka 2004 alikuwa bado sana,alikuwa bado ajatoa nyimbo ambazo kali kwa kipindi kile alikuwa bado under dog,kwangu mm solo alifaa kuchukua
Yaani mmeshangaa sana fid Q huyu hata kujulikana sio kihivyo,Jay Moe au Solo thang Ndo walistahili
 
Hata mimi namshangaa
Kadeclare mwenyewe kuwa alikuwa mdogo afu anabishana na kaka zake tuliokuwa tayari tumeshaachana na mademu kadhaa...
Ila sio hajui kabisa.
Anayo knowledge ya hiphop ya kipindi kile.
 
Wimbo ule mtazamo ulimpa ushindi, sababu ulikuwa hot, na mmiliki alikuwa baba Tunda, ndomana alipenya.
 
Hivi hiyo show nani alingia na wheel chair....nlikuwepo hapo ila sikumbuki
Kumbkmbk zmenipotea

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…