Action and Reaction
JF-Expert Member
- Oct 16, 2021
- 1,438
- 1,496
Ya tano bro,ya nne ni kageraHii timu ikijitahidi sana basi itashika nafasi ya nne kwenye msimamo wa ligi kuu msimu huu.
Hata manula hana mbadala pale simba kuna mechi moja ya Caf champions league alishawahi kucheza akiwa na majeraha.Kwa muda mrefu nimeangalia kikosi chagu cha Simba na inanisikitisha pale ambapo Hussein anakuwa majeruhi au Kapombe kawa na majeraha mbadala wao hawapo Simba ... Tangu wapo Misri pre-season siwakubali kabisaa Israel na mwenzake Gadiel Mbaga.... Uongozi wa Simba utafute wachezaji wa uhakika wa kureplace nafasi zao! Yaan Israel anaenda kucheza Caf na Red Arrows, Mazembe, AS Vita..... duuu jamani mnatupa taaaabu![emoji33]
Mumeingia kwenye taarabu na mipasho sasa.Hii timu ikijitahidi sana basi itashika nafasi ya nne kwenye msimamo wa ligi kuu msimu huu.
Djuma shabani alitaka kuja msimbazi yule mwanamama akakataaUnataka ambao wako tayari utawatoa wapi.Mimi naona ni sawa kuwaandaa hao waliopo ili waje kua bora badae.kwasababu hata hao kina kapombe waliandaliwa na hawakuibuka tu kua bora bila kupewa nafasi na leo tunaona ubora wao.Ifike mahali tujifunze uvumilivu wakuendeleza vipaji tulivyonavyo.
Kupata wachezaji wazuri siyo kazi rahisi, inahitaji muda, nguvu za kutosha, scouting za kutosha na budget.Simba wanafanya uzembe sana kwa kutosajili mbadala wa Tshabalala na Kapombe wakati wanaendelea kuzeeka.
Binafsi naona kuna mabeki wengi tu wa ligi kuu wa pembeni wanaweza kusajiliwa na Simba, na wakaanza kupata uzoefu, na mwisho wa siku watapata namba Kapombe na Tshabalala wakistaafu, mana hasa Tshabalala inaonekana ana hati miliki ya kudumu pale Simba.
Binafsi naona Tshabalala ni beki wa kawaida mana akipelekewa mashambulizi makali huwa anapitwa kirahisi
Kwa Mohamed Hussein ni Paschal Msindo.Kwa muda mrefu nimeangalia kikosi chagu cha Simba na inanisikitisha pale ambapo Hussein anakuwa majeruhi au Kapombe kawa na majeraha mbadala wao hawapo Simba.
Tangu wapo Misri pre-season siwakubali kabisaa Israel na mwenzake Gadiel Mbaga.... Uongozi wa Simba utafute wachezaji wa uhakika wa kureplace nafasi zao!
Yaan Israel anaenda kucheza Caf na Red Arrows, Mazembe, AS Vita..... duuu jamani mnatupa taaaabu![emoji33]
Kuna beki wa kushoto Bora kuliko Tshabalala nchi hii ?Simba wanafanya uzembe sana kwa kutosajili mbadala wa Tshabalala na Kapombe wakati wanaendelea kuzeeka.
Binafsi naona kuna mabeki wengi tu wa ligi kuu wa pembeni wanaweza kusajiliwa na Simba, na wakaanza kupata uzoefu, na mwisho wa siku watapata namba Kapombe na Tshabalala wakistaafu, mana hasa Tshabalala inaonekana ana hati miliki ya kudumu pale Simba.
Binafsi naona Tshabalala ni beki wa kawaida mana akipelekewa mashambulizi makali huwa anapitwa kirahisi
DejanKwa muda mrefu nimeangalia kikosi chagu cha Simba na inanisikitisha pale ambapo Hussein anakuwa majeruhi au Kapombe kawa na majeraha mbadala wao hawapo Simba.
Tangu wapo Misri pre-season siwakubali kabisaa Israel na mwenzake Gadiel Mbaga.... Uongozi wa Simba utafute wachezaji wa uhakika wa kureplace nafasi zao!
Yaan Israel anaenda kucheza Caf na Red Arrows, Mazembe, AS Vita..... duuu jamani mnatupa taaaabu![emoji33]
Hiyo ni tathmini yangu tu! Inaweza ikawa kweli, au la! Ni tofauti kabisa na hicho unachoita taarabu na mipasho.
Ndio maana nimesema inatakiwa Simba wamuibue beki mwingine ambapo atarithi namba ya Tshabalala.Kuna beki wa kushoto Bora kuliko Tshabalala nchi hii ?
Azam beki wa kushoto ni Paschal MsindoNdio maana nimesema inatakiwa Simba wamuibue beki mwingine ambapo atarithi namba ya Tshabalala.
Binafsi huwa namuona Tshabalala anahangaika kuwakaba mabeki wenye spidi. Yaani Tshabalala ni mzuri kupandisha mashambulizi ila si mzuri kukaba.
Nimemfuatilia kwa miaka ya karibuni akiwa Simba na Taifa Stars, asilimia kubwa magoli yanapitia upande wa Tshabalala pindi timu pinzani inapoamua kufanya mashambulizi kupitia pembeni.
Kuna dogo wa Azam, Manyama hata yeye anakuja vizuri tu, akijibidisha anaweza kuwa beki mzuri wa kushoto pia.
Mshindo anakaa benchi Azama, anayeanza ni Bruce Kangwa.Azam beki wa kushoto ni Paschal Msindo
Hii timu ikijitahidi sana basi itashika nafasi ya nne kwenye msimamo wa ligi kuu msimu huu.
Halafu kuna utopolo wengine haiwapendezi kuna wengine ndo kazi yao hata mtaani