Nani Mbadala wa Shomari Kapombe na Muhammed Hussein wakiwa majeruhi?

Action and Reaction

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2021
Posts
1,438
Reaction score
1,496
Kwa muda mrefu nimeangalia kikosi chagu cha Simba na inanisikitisha pale ambapo Hussein anakuwa majeruhi au Kapombe kawa na majeraha mbadala wao hawapo Simba.

Tangu wapo Misri pre-season siwakubali kabisaa Israel na mwenzake Gadiel Mbaga.... Uongozi wa Simba utafute wachezaji wa uhakika wa kureplace nafasi zao!

Yaan Israel anaenda kucheza Caf na Red Arrows, Mazembe, AS Vita..... duuu jamani mnatupa taaaabu!😱
 
Unataka ambao wako tayari utawatoa wapi.Mimi naona ni sawa kuwaandaa hao waliopo ili waje kua bora badae.kwasababu hata hao kina kapombe waliandaliwa na hawakuibuka tu kua bora bila kupewa nafasi na leo tunaona ubora wao.Ifike mahali tujifunze uvumilivu wakuendeleza vipaji tulivyonavyo.
 
Kwa muda mrefu nimeangalia kikosi chagu cha Simba na inanisikitisha pale ambapo Hussein anakuwa majeruhi au Kapombe kawa na majeraha mbadala wao hawapo Simba ... Tangu wapo Misri pre-season siwakubali kabisaa Israel na mwenzake Gadiel Mbaga.... Uongozi wa Simba utafute wachezaji wa uhakika wa kureplace nafasi zao! Yaan Israel anaenda kucheza Caf na Red Arrows, Mazembe, AS Vita..... duuu jamani mnatupa taaaabu![emoji33]
Hata manula hana mbadala pale simba kuna mechi moja ya Caf champions league alishawahi kucheza akiwa na majeraha.
 
Simba wanafanya uzembe sana kwa kutosajili mbadala wa Tshabalala na Kapombe wakati wanaendelea kuzeeka.

Binafsi naona kuna mabeki wengi tu wa ligi kuu wa pembeni wanaweza kusajiliwa na Simba, na wakaanza kupata uzoefu, na mwisho wa siku watapata namba Kapombe na Tshabalala wakistaafu, mana hasa Tshabalala inaonekana ana hati miliki ya kudumu pale Simba.

Binafsi naona Tshabalala ni beki wa kawaida mana akipelekewa mashambulizi makali huwa anapitwa kirahisi
 
Unataka ambao wako tayari utawatoa wapi.Mimi naona ni sawa kuwaandaa hao waliopo ili waje kua bora badae.kwasababu hata hao kina kapombe waliandaliwa na hawakuibuka tu kua bora bila kupewa nafasi na leo tunaona ubora wao.Ifike mahali tujifunze uvumilivu wakuendeleza vipaji tulivyonavyo.
Djuma shabani alitaka kuja msimbazi yule mwanamama akakataa
 
Simba wanafanya uzembe sana kwa kutosajili mbadala wa Tshabalala na Kapombe wakati wanaendelea kuzeeka.

Binafsi naona kuna mabeki wengi tu wa ligi kuu wa pembeni wanaweza kusajiliwa na Simba, na wakaanza kupata uzoefu, na mwisho wa siku watapata namba Kapombe na Tshabalala wakistaafu, mana hasa Tshabalala inaonekana ana hati miliki ya kudumu pale Simba.

Binafsi naona Tshabalala ni beki wa kawaida mana akipelekewa mashambulizi makali huwa anapitwa kirahisi
Kupata wachezaji wazuri siyo kazi rahisi, inahitaji muda, nguvu za kutosha, scouting za kutosha na budget.

Mimi sioni uzembe, hata hivyo mbadala wa Kapombe na Hussein ni hao hao waliopo ni kuwatrain ili wakomae
 
Kwa muda mrefu nimeangalia kikosi chagu cha Simba na inanisikitisha pale ambapo Hussein anakuwa majeruhi au Kapombe kawa na majeraha mbadala wao hawapo Simba.

Tangu wapo Misri pre-season siwakubali kabisaa Israel na mwenzake Gadiel Mbaga.... Uongozi wa Simba utafute wachezaji wa uhakika wa kureplace nafasi zao!

Yaan Israel anaenda kucheza Caf na Red Arrows, Mazembe, AS Vita..... duuu jamani mnatupa taaaabu![emoji33]
Kwa Mohamed Hussein ni Paschal Msindo.

Kwa Kapombe ni Nathaniel Chilambo japo Israel siyo mbaya pia
 
Simba wanafanya uzembe sana kwa kutosajili mbadala wa Tshabalala na Kapombe wakati wanaendelea kuzeeka.

Binafsi naona kuna mabeki wengi tu wa ligi kuu wa pembeni wanaweza kusajiliwa na Simba, na wakaanza kupata uzoefu, na mwisho wa siku watapata namba Kapombe na Tshabalala wakistaafu, mana hasa Tshabalala inaonekana ana hati miliki ya kudumu pale Simba.

Binafsi naona Tshabalala ni beki wa kawaida mana akipelekewa mashambulizi makali huwa anapitwa kirahisi
Kuna beki wa kushoto Bora kuliko Tshabalala nchi hii ?
 
Kwa muda mrefu nimeangalia kikosi chagu cha Simba na inanisikitisha pale ambapo Hussein anakuwa majeruhi au Kapombe kawa na majeraha mbadala wao hawapo Simba.

Tangu wapo Misri pre-season siwakubali kabisaa Israel na mwenzake Gadiel Mbaga.... Uongozi wa Simba utafute wachezaji wa uhakika wa kureplace nafasi zao!

Yaan Israel anaenda kucheza Caf na Red Arrows, Mazembe, AS Vita..... duuu jamani mnatupa taaaabu![emoji33]
Dejan
 
Kuna beki wa kushoto Bora kuliko Tshabalala nchi hii ?
Ndio maana nimesema inatakiwa Simba wamuibue beki mwingine ambapo atarithi namba ya Tshabalala.

Binafsi huwa namuona Tshabalala anahangaika kuwakaba mabeki wenye spidi. Yaani Tshabalala ni mzuri kupandisha mashambulizi ila si mzuri kukaba.

Nimemfuatilia kwa miaka ya karibuni akiwa Simba na Taifa Stars, asilimia kubwa magoli yanapitia upande wa Tshabalala pindi timu pinzani inapoamua kufanya mashambulizi kupitia pembeni.

Kuna dogo wa Azam, Manyama hata yeye anakuja vizuri tu, akijibidisha anaweza kuwa beki mzuri wa kushoto pia.
 
Azam beki wa kushoto ni Paschal Msindo
 
Back
Top Bottom