el nino
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,712
- 5,058
Hiki kitu nimekuwa nikijiuliza mara kwa mara tangia harmonize ameanza kufanya kazi zake mwenyewe.
It seems wanaosimamia biashara zake either hawana kauli yeyote ile juu yake au hawajui wanachofanya maana amekuwa ni mtu kurashiarashia mambo na kuyafanya katika viwango vya kawaida sana.
Moja ya hayo mambo ni juzi alipoachia collabo ya msanii wake na yeye halafu akaiweka kwenye akaunti yake youtube, nikajiuliza hivi hawa wanaomsimamia Harmonize wanashindwaje kumshauri kitu kidogo kama hicho!, unamsaini msanii aliyerelease E.P yake halafu breakthrough song unajiwekea wewe mwenyewe kwenye akaunti yako !!,
Hao subrcribers na viewers wa huyo msanii wake Dogo ibra watatoka wapi?, Lazima aambukize mashabiki zake wamfuatilie msanii wake mpya ili kesho na kesho kutwa ajitengenezee Brand yake ambayo itaweza kurudisha uwekezaji uliofanyika kwake (Ibra) pamoja na faida.
Kama ataendelea kulipualipua mambo kiholelaholela namna hii basi atapata wakati mgumu sana kuendeleza hiyo label yake mpya achilia mbali kujiendeleza yeye mwenyewe.
Hao managers wake ni muda wa kuprove kuwa sio mameneja jina, kama wanaona konde boy hasikii au hashauriki ni kheri kujitoa wamuache mwenyewe afe kifo cha kisanii cha asili.