Nani mkali kati ya Haruna Niyonzima na Clatous Chama?

"Chama baba...ulijifunza wapi kandanda? Kwanini upo hapa Chama Clatous?" In Baraka Mpenja's voice.
Ila Simba hii ina mafundi aisee, nkimuangaliaga Bwalya ni kama namuona James Rodriguez kwenye ubora wake. Huyo Konde boy la pulga ndo hana maelekezo kabisaaa. Morisson ndo kama vile, mixer pasi za mgongo, mara apande mpira. Kagere ndo hataki kuelewa kitu, ana njaa na kiatu utafkiri anatembea peku. Mugalu ndo huyo kitakachomzuia asifunge ni kuachwa alale hotelini siku ya mechi
 
Nyonzima aliyekuja Simba kujifunza kwa Chama halafu leo tuwalinganishe fifa wanaweza kutufungia kwa utani tunaoleta
 
Mambo mengi anayofanya Mzee Kretusi Leo Haruna Niyonzima baba nzazi ashayafanya kitambo hichoo!! Mzee kretusi ananzidi nini Fundi Wa mpira nchini HHN!?
 
Kwa walioanza kuangalia mpira juzi utawasikia wanasema triple C.

Ila Niyonzima kwa wanaomfahamu aisee acha aitwe Haruna Niyonzima kwa kipindi chake.
Ndugu pole sana mana umeongea kitu kizito ambacho watu waloanza kushabikia timu yao miaka mitatu na nusu ilopita baada ya ujio Wa Mo Dewj hawatokuelewa ng'ooo!!
 
NIYONZIMA = SECRETARY POMPEO.

CHAMA = JULIANA SHONZA.
 
Yule Bwalya Simba wamepata mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…