Nani mkali kati ya Haruna Niyonzima na Clatous Chama?

Mi naomba hii topic ifutwe maana fifa wakipata tetesi simba tutasikia michuano ya caf kwenye bomba.
Kama Chama sio zaidi ya nyonzima gsm wasingekuwa wanahangaika kumsajili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…