Nani mkali kati ya Haruna Niyonzima na Clatous Chama?

Hili swali konki sana.Binafsi nimefikiria sana kama nipo nafanya NECTA lakini hola!
 
Ikumbukwe goli la Chama Vs Plateau ndio limeivusha Simba kwenda round inayofuata.

#Mwamba
 
Ahaa ulinganifu gani huo?
 
Ifike wakati watanzania muwe na adabu, unawezaje kufananisha Triple C na Ushuzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…