Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili swali konki sana.Binafsi nimefikiria sana kama nipo nafanya NECTA lakini hola!Kwenu wadau wa Soka
Haruna Niyonzima na Clatous Chama Hawa ni Wachezaji ambao Wamejibebea Umaarufu Mkubwa kutokana na Uwezo wao wa Kucheza Soka la KIWANGO cha Juu katika Ligi Yetu ya Tanzania.
Viungo Hawa wamekuwa wakiwapa Matumaini Mashabiki wa Timu zao hasa wanapoanza katika kikosi na kufanya Mambo makubwa ndani ya Uwanja na kupelekea Timu pinzani kuonekana Kama wanaonewa na Kunyanyaswa na Wachezaji hao.
= Leo Tujue Kati ya Clatous Chota CHAMA (Mwamba wa Lusaka) na Haruna Hakizimana NIYONZIMA (Baba mzazi)
JE, NANI NI MCHEZAJI BORA ZAIDI.
"Soka ni Mchezo wa Wazi"
Umeshaharibu Uzi mzeeNimeweka hizo facts chache mkuu...karibu
Cuf ya Lipumba au?.HahahaaaHta cuf wakisikia haya mambo huwenda ukafungiwa kbsa ,,mwamba wa lusakaaa
Kabisa hawa jamaa wote wana balaa hatari.Sema tu ni vile wamezaliwa nchi zetu hiziKwa hiyo umekusanya pepa bila majibu..?
I was just kidding. Nilimuelewa mkuuCAF.. ameteleza hapo mkuu
Eeeh aaa sana.Watu na mifly over yetuNchi za uchumi wa kati
Ahaa ulinganifu gani huo?Kwenu wadau wa Soka
Haruna Niyonzima na Clatous Chama Hawa ni Wachezaji ambao Wamejibebea Umaarufu Mkubwa kutokana na Uwezo wao wa Kucheza Soka la KIWANGO cha Juu katika Ligi Yetu ya Tanzania.
Viungo Hawa wamekuwa wakiwapa Matumaini Mashabiki wa Timu zao hasa wanapoanza katika kikosi na kufanya Mambo makubwa ndani ya Uwanja na kupelekea Timu pinzani kuonekana Kama wanaonewa na Kunyanyaswa na Wachezaji hao.
= Leo Tujue Kati ya Clatous Chota CHAMA (Mwamba wa Lusaka) na Haruna Hakizimana NIYONZIMA (Baba mzazi)
JE, NANI NI MCHEZAJI BORA ZAIDI.
"Soka ni Mchezo wa Wazi"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],duhIfike wakati watanzania muwe na adabu, unawezaje kufananisha Triple C na Ushuzi?