dumesuruali
JF-Expert Member
- Dec 2, 2016
- 287
- 621
Dkt Chama...
#dumesuruali...
#dumesuruali...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ninyi ni wachawi sana ndio mana wachezaji wazuri hamuwajuiHaruna Niyonzima?
Hiki ni kichekesho. Siyo mbaya lakini huwez kamwe kumfananisha na CCC.
Angekua na viwango hivyo asingeachwa na SSC
Achana na game changer baba mzazi wewe! Nadhani umenipata vizuri sana ktk hili mana huyu mwamba,Fundi Wa mpira kawaachia alama ambayo haitofutika!Chama ni habari nyingine...
Haruna tulimuona anajua kipindi Bongo bado pesa haijawekwa ya kutosha kwenye Soka, ko talents nyingi zinazoingia zilikuwa za kawaida....
Saiv Talents zipo kweli mzee, Haruna kwa chama bado Sana.....
Walivyocheza wote Simba tuliona.
Haruna labda umpambanishe na Bwalya napo bado ataburuzwa....
Alama ipi unazungumzia mkuu?Achana na game changer baba mzazi wewe! Nadhani umenipata vizuri sana ktk hili mana huyu mwamba,Fundi Wa mpira kawaachia alama ambayo haitofutika!
Ukitaka kumjua baba mzazi waulize waarabu alichowafanya Misri Bahanuzi akazingua, Chama anawika kwenye mechi za vitimu vilivyopanda daraja kama Ihefu na Gwambina.
Usiisahau na Nkana Fc pamoja na AS Vita.Ukitaka kumjua baba mzazi waulize waarabu alichowafanya Misri Bahanuzi akazingua, Chama anawika kwenye mechi za vitimu vilivyopanda daraja kama Ihefu na Gwambina.
FabregasKwa walioanza kuangalia mpira juzi utawasikia wanasema triple C.
Ila Niyonzima kwa wanaomfahamu aisee acha aitwe Haruna Niyonzima kwa kipindi chake.
Tunazungumzia sasa wewe mtopoloKwa walioanza kuangalia mpira juzi utawasikia wanasema triple C.
Ila Niyonzima kwa wanaomfahamu aisee acha aitwe Haruna Niyonzima kwa kipindi chake.
Huyu alichangia sana kuwavusha kwenye moja ya hatua muhimu kwenye CAF CLAlama ipi unazungumzia mkuu?
Mkuu hapa tupo kishabiki zaidi.Ninyi ni wachawi sana ndio mana wachezaji wazuri hamuwajui
Mzee naona umeshusha NondoComment nyingi zinazo msapoti Niyonzima zinamuongelea akiwa kwenye peak take japo inajulikana sana Chama ndo Alimfanya aonekane was kawaida tu.
Tuwaongelee kwenye peak zao walifanya nini.
Haruna kwenye peak yake kipindi Yanga ikiwa kwenye peak...kama kuna tuzo kawahi kupata basi itakua mchezaji bora wa mwezi(Naweza sahihishwa hapa)
Chama kwenye ubora wake ameongoza kwa assist msimu 2019/20 Vpl
Kiungo bora wa ligi msimu 2019/20 Vpl
Mchezaji bora Azam Sports federation Cup 2019/20.
Ameshafunga magoli ya kuamua mechi ngumu za kuvuka Zaidi ya Mara moja dhidi ya ...Nkana...As Vita.
Haruna ni ball dancer asiye na madhara...Chama ni level nyingine tunashuhudia vitu ambavyo hatujawahi vishuhudia nchini mwetu na ndo maana hata humu Jf Chama ana threads nyingi sana za kumzungumzia siyo Niyonzima.
Nimeweka hizo facts chache mkuu...karibuMzee naona umeshusha Nondo