Nani mkali kati ya Haruna Niyonzima na Clatous Chama?

Nani mkali kati ya Haruna Niyonzima na Clatous Chama?

Haruna Niyonzima?
Hiki ni kichekesho. Siyo mbaya lakini huwez kamwe kumfananisha na CCC.
Angekua na viwango hivyo asingeachwa na SSC
Ninyi ni wachawi sana ndio mana wachezaji wazuri hamuwajui
 
Chama ni habari nyingine...
Haruna tulimuona anajua kipindi Bongo bado pesa haijawekwa ya kutosha kwenye Soka, ko talents nyingi zinazoingia zilikuwa za kawaida....
Saiv Talents zipo kweli mzee, Haruna kwa chama bado Sana.....
Walivyocheza wote Simba tuliona.
Haruna labda umpambanishe na Bwalya napo bado ataburuzwa....
Achana na game changer baba mzazi wewe! Nadhani umenipata vizuri sana ktk hili mana huyu mwamba,Fundi Wa mpira kawaachia alama ambayo haitofutika!
 
Chama kawafunga as Vita na kuwatoa group stage , kawafunga nkana au ndio vitimu vilivyopanda daraja. Kiuchezaji chama na niyonzima wote ni mafundi wa kuchezea mpira ila tofauti yao chama anacheza akitafuta kufunga au kutoa pasi ya mwisho anacheza mchezo hatari, niyonzima anacheza ili kufuraisha mashabiki ni mchezaji machachari
Ukitaka kumjua baba mzazi waulize waarabu alichowafanya Misri Bahanuzi akazingua, Chama anawika kwenye mechi za vitimu vilivyopanda daraja kama Ihefu na Gwambina.
 
Comment nyingi zinazo msapoti Niyonzima zinamuongelea akiwa kwenye peak take japo inajulikana sana Chama ndo Alimfanya aonekane was kawaida tu.
Tuwaongelee kwenye peak zao walifanya nini.
Haruna kwenye peak yake kipindi Yanga ikiwa kwenye peak...kama kuna tuzo kawahi kupata basi itakua mchezaji bora wa mwezi(Naweza sahihishwa hapa)

Chama kwenye ubora wake ameongoza kwa assist msimu 2019/20 Vpl
Kiungo bora wa ligi msimu 2019/20 Vpl
Mchezaji bora Azam Sports federation Cup 2019/20.
Ameshafunga magoli ya kuamua mechi ngumu za kuvuka Zaidi ya Mara moja dhidi ya ...Nkana...As Vita.

Haruna ni ball dancer asiye na madhara...Chama ni level nyingine tunashuhudia vitu ambavyo hatujawahi vishuhudia nchini mwetu na ndo maana hata humu Jf Chama ana threads nyingi sana za kumzungumzia siyo Niyonzima.
 
Mzee naona umeshusha Nondo
 
Back
Top Bottom