Nani mkali: Luis Jose Miqsonne Vs Mbwana Samata

Konde Boy alikosa namba bondeni amekuja hapa kakuta vitimu kama Namungo Ndanda Mwadui anapiga chenga kweli kwa uduni wetu tunafikiri anajua mpira kweli ngoja ligi ya mabingwa ianze mtamkana
 
Konde Boy alikosa namba bondeni amekuja hapa kakuta vitimu kama Namungo Ndanda Mwadui anapiga chenga kweli kwa uduni wetu tunafikiri anajua mpira kweli ngoja ligi ya mabingwa ianze mtamkana
Kwani hizo chenga kawapiga ndanda tu? Hujaona mechi na Palateau alipiga Chenga Kijiji, Mwenyekiti wake, Katibu Mtendaji wake mpaka na Mjumbe wa Shina?

Na amekosa number wapi wakati ni tegemeo National Team?
 
Utopolo wenyewe wanamjua vizuri.
Ila sio tatizo kwa kuwa uto nao ni timu ya mipango mipango tu kuliko mpira.Ndio maana wakishindwa wanaanza kucheza mieleka
Kwani hizo chenga kawapiga ndanda tu? Hujaona mechi na Palateau alipiga Chenga Kijiji, Mwenyekiti wake, Katibu Mkuu wake mpaka na Mjumbe wa Shina?

Na amekosa number wapi wakati ni tegemeo National Team?
 
Narudia tena Kama tunazungumzia history, Basi Samatta amemwacha mbali Luis, lakini kama kwa kiwango cha sasa hivi Luis yupo juu kwa Samatta
 
Kwani hizo chenga kawapiga ndanda tu? Hujaona mechi na Palateau alipiga Chenga Kijiji, Mwenyekiti wake, Katibu Mtendaji wake mpaka na Mjumbe wa Shina?

Na amekosa number wapi wakati ni tegemeo National Team?
Plateau imekaa miezi 8 bila mechi wala mazoezi ya maana! Bado haiwezi kuwa kipimo cha maana! Hako kajamaa kenu kalibanwa na Kibwana siku ile na hakajafanya lolote! Angekuwa mzuri kule Sauz wasingemwachia kirahisi!

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Narudia tena Kama tunazungumzia history, Basi Samatta amemwacha mbali Luis, lakini kama kwa kiwango cha sasa hivi Luis yupo juu kwa Samatta
Kwa akili hizi wewe unaweza kusema Simba ni bora kuliko Fulham.

Rage hakukosea.
 
Najua ukiingia JF siku hizi utakutana na mataahira mengi lakini sikujua nitakutana na taahira la kiwango hiki.
 
Hii ni dharau kubwa Sana....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…