Nyungu nyungu
Senior Member
- May 6, 2020
- 106
- 56
Acha Kufananisha Baskeli Na Gari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Konde Boy alikosa namba bondeni amekuja hapa kakuta vitimu kama Namungo Ndanda Mwadui anapiga chenga kweli kwa uduni wetu tunafikiri anajua mpira kweli ngoja ligi ya mabingwa ianze mtamkana
Miquisonne labda umfananishe na Leonel Messi, Tena yule Messi akiwa kwenye kiwango chake.View attachment 1583630
Miqsonne
View attachment 1583631
Samata
Bila kujali timu wanazochezea. Bila kujali nafasi wanazocheza. Kwa kuangalia viwango vyao kwa kuzitendea haki nafasi zao katika timu; nani mkali kati ya Samata na Miqsone
Kwani hizo chenga kawapiga ndanda tu? Hujaona mechi na Palateau alipiga Chenga Kijiji, Mwenyekiti wake, Katibu Mtendaji wake mpaka na Mjumbe wa Shina?Konde Boy alikosa namba bondeni amekuja hapa kakuta vitimu kama Namungo Ndanda Mwadui anapiga chenga kweli kwa uduni wetu tunafikiri anajua mpira kweli ngoja ligi ya mabingwa ianze mtamkana
Kumbuka makubwa alofanya akiwa genkSamatta wa Aston Villa ni wa kawaiiidaa saaana!
Kwani hizo chenga kawapiga ndanda tu? Hujaona mechi na Palateau alipiga Chenga Kijiji, Mwenyekiti wake, Katibu Mkuu wake mpaka na Mjumbe wa Shina?
Na amekosa number wapi wakati ni tegemeo National Team?
Narudia tena Kama tunazungumzia history, Basi Samatta amemwacha mbali Luis, lakini kama kwa kiwango cha sasa hivi Luis yupo juu kwa SamattaTukiangalia history, Mbwana kamuacha mbali kabisa Luis, amewahi kuwa mchezaji bora Africa ligi ya ndani, amechezea timu Bora ya Africa kipindi hicho Mazembe, ameshinda mataji mengi makubwa yakwemo club champions Afrika, Congo na Ubelgiji, amechezea champions league Ulaya, amecheza premier league England, amezifunga Liverpool na Man City nk. Lakini kwa Sasa hivi Mbwana huyu mwenye umri wa miaka 31+ na siyo 27 Kama passport yake inavyosoma kiwango chake kimeshuka, Hana Kasi ya kumfikia Luis, hawezi kutumia miguu miwili kwa ufanisi wa kumfikia Luis, kifupi kwa Sasa hivi form ya Luis ipo juu sana kulinganisha na ya Samata, ndani ya miaka 2 ijayo namuona Luis atakuwa Ulaya na Samata atakuwa arabuni, america au afrika
Plateau imekaa miezi 8 bila mechi wala mazoezi ya maana! Bado haiwezi kuwa kipimo cha maana! Hako kajamaa kenu kalibanwa na Kibwana siku ile na hakajafanya lolote! Angekuwa mzuri kule Sauz wasingemwachia kirahisi!Kwani hizo chenga kawapiga ndanda tu? Hujaona mechi na Palateau alipiga Chenga Kijiji, Mwenyekiti wake, Katibu Mtendaji wake mpaka na Mjumbe wa Shina?
Na amekosa number wapi wakati ni tegemeo National Team?
Kwa akili hizi wewe unaweza kusema Simba ni bora kuliko Fulham.Narudia tena Kama tunazungumzia history, Basi Samatta amemwacha mbali Luis, lakini kama kwa kiwango cha sasa hivi Luis yupo juu kwa Samatta
Plateau imekaa miezi 8 bila mechi wala mazoezi ya maana! Bado haiwezi kuwa kipimo cha maana! Hako kajamaa kenu kalibanwa na Kibwana siku ile na hakajafanya lolote! Angekuwa mzuri kule Sauz wasingemwachia kirahisi!
Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app