Nani mkali: Luis Jose Miqsonne Vs Mbwana Samata

Nani mkali: Luis Jose Miqsonne Vs Mbwana Samata

Konde Boy alikosa namba bondeni amekuja hapa kakuta vitimu kama Namungo Ndanda Mwadui anapiga chenga kweli kwa uduni wetu tunafikiri anajua mpira kweli ngoja ligi ya mabingwa ianze mtamkana
 
Konde Boy alikosa namba bondeni amekuja hapa kakuta vitimu kama Namungo Ndanda Mwadui anapiga chenga kweli kwa uduni wetu tunafikiri anajua mpira kweli ngoja ligi ya mabingwa ianze mtamkana
Kwani hizo chenga kawapiga ndanda tu? Hujaona mechi na Palateau alipiga Chenga Kijiji, Mwenyekiti wake, Katibu Mtendaji wake mpaka na Mjumbe wa Shina?

Na amekosa number wapi wakati ni tegemeo National Team?
 
Utopolo wenyewe wanamjua vizuri.
Ila sio tatizo kwa kuwa uto nao ni timu ya mipango mipango tu kuliko mpira.Ndio maana wakishindwa wanaanza kucheza mieleka
Kwani hizo chenga kawapiga ndanda tu? Hujaona mechi na Palateau alipiga Chenga Kijiji, Mwenyekiti wake, Katibu Mkuu wake mpaka na Mjumbe wa Shina?

Na amekosa number wapi wakati ni tegemeo National Team?
 
Tukiangalia history, Mbwana kamuacha mbali kabisa Luis, amewahi kuwa mchezaji bora Africa ligi ya ndani, amechezea timu Bora ya Africa kipindi hicho Mazembe, ameshinda mataji mengi makubwa yakwemo club champions Afrika, Congo na Ubelgiji, amechezea champions league Ulaya, amecheza premier league England, amezifunga Liverpool na Man City nk. Lakini kwa Sasa hivi Mbwana huyu mwenye umri wa miaka 31+ na siyo 27 Kama passport yake inavyosoma kiwango chake kimeshuka, Hana Kasi ya kumfikia Luis, hawezi kutumia miguu miwili kwa ufanisi wa kumfikia Luis, kifupi kwa Sasa hivi form ya Luis ipo juu sana kulinganisha na ya Samata, ndani ya miaka 2 ijayo namuona Luis atakuwa Ulaya na Samata atakuwa arabuni, america au afrika
Narudia tena Kama tunazungumzia history, Basi Samatta amemwacha mbali Luis, lakini kama kwa kiwango cha sasa hivi Luis yupo juu kwa Samatta
 
Kwani hizo chenga kawapiga ndanda tu? Hujaona mechi na Palateau alipiga Chenga Kijiji, Mwenyekiti wake, Katibu Mtendaji wake mpaka na Mjumbe wa Shina?

Na amekosa number wapi wakati ni tegemeo National Team?
Plateau imekaa miezi 8 bila mechi wala mazoezi ya maana! Bado haiwezi kuwa kipimo cha maana! Hako kajamaa kenu kalibanwa na Kibwana siku ile na hakajafanya lolote! Angekuwa mzuri kule Sauz wasingemwachia kirahisi!

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Narudia tena Kama tunazungumzia history, Basi Samatta amemwacha mbali Luis, lakini kama kwa kiwango cha sasa hivi Luis yupo juu kwa Samatta
Kwa akili hizi wewe unaweza kusema Simba ni bora kuliko Fulham.

Rage hakukosea.
 
Plateau imekaa miezi 8 bila mechi wala mazoezi ya maana! Bado haiwezi kuwa kipimo cha maana! Hako kajamaa kenu kalibanwa na Kibwana siku ile na hakajafanya lolote! Angekuwa mzuri kule Sauz wasingemwachia kirahisi!

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
FB_IMG_16073964947813825.jpg
 
Najua ukiingia JF siku hizi utakutana na mataahira mengi lakini sikujua nitakutana na taahira la kiwango hiki.
 
Back
Top Bottom