Kwa hiyo unataka kusemajeHii ni mada yako ya tatu kama sikosei ukiongelea jambo hili. Una agenda gani?
Ila kwa ufahamu wangu mdogo makundi hutengenezwa na watu wenye interest zinazofanana kwa malengo yao binafsi. Wapo wanaojikuta tu automatic wameendana na kuwa kundi moja. Hili halikwepeki popote pale.
Ukose wa hela, akishirikiana na mwenzake ukosefu wa akili pamoja na njaa pamoja hasira akishirikiana na chuki na roho mbaya na ndugu yake ukosefu wa ajira na wivuJe yuko peke yake!?
Ama ni kikundi cha watu?
Wanajuana?
Wanafahamiana!?
Hivi wakojee?
Je wanafaidikaje na makundi?
πππππΏ
View attachment 3671431
Kuhusu nini?Kwa hiyo unataka kusemaje
Kuhusu gazeti uliloandikaKuhusu nini?
Kumbe tayari nimeshaandika, sasa swali la nini tena?Kuhusu gazeti uliloandika
Coca usinijumuishe nae kwa sasa , namchukia mno kwa sababu anapinga wachaga bila ushahidi
Kama ni Katuga hatumtakiNaomba niwasiliane na wakili wangu atakujibu
Ameolewa na mpare mmoja hivi. Kutwa wanakula ugali kwa picha ya mbuzi, ati wanasema wanajibana ili wajenge uchumi.
Hahahaha ππΏββ Maskini wapare...ππΏππΏπ€£
Andika ueleweke mkuuKumbe tayari nimeshaandika, sasa swali la nini tena?
Mshangazi hauna baya mtu wala kipengele labda uende nacho wewe π«©
Walioleft jinsia watafurika mahakamaniπ€£ππΏππΏ