Sio kweli na sikupendi tena tena cokaJamani MM kwani uongo? Mie nina ushahidi was wachaga, ni vile tu sioni mantiki ya kuweka hapa.
Ila kiuhalisia Wachaga hapana kwa kweli, japo wachache wako wamenyooka, ila wengi wao ni tatizo.
Mshangazi hauna baya mtu wala kipengele labda uende nacho wewe π«©View attachment 3671439
Toto tamu hili
chwaaa, leo asubuhi kidogo nibadirishe njia, nilikutana na mzigo umevaa dele upo kama huu, nikautazama vizuri nikaona upo vulnerable kilicho niokoa chujio nililiacha ndani
chwaaa, leo asubuhi kidogo nibadirishe njia, nilikutana na mzigo umevaa dele upo kama huu, nikautazama vizuri nikaona upo vulnerable kilicho niokoa chujio nililiacha ndaniView attachment 3671447
Naomba niwasiliane na wakili wangu atakujibu
Hujaelewa nini?Andika ueleweke mkuu
Ngoma ya kwetu π₯π₯
Hujaelewa nini?
Old golden daysππNgoma ya kwetu π₯π₯
Michezo ya kwetu π₯π₯π₯
Sijaona kwa wasasa wanaoweza fikia hiyo kitu asieee.. kuanzia cheza na utamu wa burdan.. nakumbuka mbali sanaa na vijana wangu kina pampura fungo
π π chuma kingine hikiOld golden daysππView attachment 3671461
Mikono na miguu havina ushirikiano kabiiisa na hicho alichokibeba hapo nyuma
Alooooh chipsi na mishikaki kazijaza maaji kisa hii kitu
Nyoosha maelezo mzee, ishu ya mafumbo mngefanya private na wanaojua hayo mafumboJe yuko peke yake!?
Ama ni kikundi cha watu?
Wanajuana?
Wanafahamiana!?
Hivi wakojee?
Je wanafaidikaje na makundi?View attachment 3671430
Tatizo kitambiπMshangazi hauna baya mtu wala kipengele labda uende nacho wewe π«©View attachment 3671439