Malaika Gabrieli
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 3,637
- 6,896
nyie binadamu ni maboss zetu.Ngoja Malaika Gabrieli aje
nyie binadamu ni maboss zetu.Ngoja Malaika Gabrieli aje
know your worth.Malaika bwana ndio wakubwa wana extra ordinary power than us
Vipi Malaika Gabriel sisi wanadamu ndio tuna power kweli?know your worth.
umeuliza na umejijibukama hana uhuru kwanini walitenda dhambi hao malaika uko mbinguni au unasemea uhuru wa kucheza vigodoro?
Mkuu shetani sio malaika shetani asili yake ni jini.huu nao ni uongo eti hana uhuru?? kama hana uhuru mbona shetani alichagua kutotii yeye pamoja na mapepo na vibwengo na majini?
Ungeulizà nani mkubwa kati ya chawa na ccm ningekùmbia chawa.ila hilo swali lako shata sina majibuNani mkubwa na wa hadhi ya juu kati ya binadamu na Malaika ?
Nani ana maisha mazuri zaidi kati ya binadamu na malaika?
Bwashee....hii profile yako inatuchanganya..Kwa mujibu wa dini mkubwa ni binadamu kimamlaka .
Seran umenunua bastola...?Malaika 😁
Nimejipanga kindakindaki sitaki mchezo, ukileta za kuleta tu ni za kichwa..pyuu pyuu 🤪Seran umenunua bastola...?
Hutaki kufa kizembe

Unachanganyikiwa na nini mkuuBwashee....hii profile yako inatuchanganya..
Ndiyo.Vipi Malaika Gabriel sisi wanadamu ndio tuna power kweli?