Jeshi LA wananchi lina chombo chake cha intelligence unadhani linategemea tu TISS !!Vyombo vyote vinategemeana, ndio maana hata hilo Jeshi la Ulinzi bila intelijensia imara haliwezi kuonekana Imara.
Una uhakika Na unachoongea au unahisi tuIntelligence ya jeshi Ni ya humo humo jeshini, TISS inaweza kujua taarifa mpaka za hiyo intelligence ya jeshi lakini Intelligence ya Jeshi haiwezi kujua ya TISS, kwa kuhitimisha, TISS wapo mpaka jeshini na wanafanya kazi za jeshi, lakini TISS hakuna wanajeshi wanaoifanyia intelligence. Vinginevyo mnaongopeana.
[emoji23][emoji23][emoji23]Na wakishareport nani anayeshughulikia nao?
Mwingine analinda nchi cdf, Mwingine analinda serikali, nchi haipinduliwi, inavamiwa, serikali ndio inapinduliwa, mwenye nchi ndio mkubwaa, jitahidi uwe na adabu basi, serikali ikishindwa majukumu, basi mwenye nchi anaomba mkae pembeni mjipange, kazi ya jeshi ni kulinda katiba kwa niaba ya wananchiWakuu hope mko poa
Naomba kuuliza ni nani, Ni mkubwa, lakini pia nani anajua Siri nyingi, lakini pia nani yupo karibu mno na raisi Kati ya Mkuu wa Majeshi(CDF) na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa(DGIS)
Karibu mtujuze mnaojua
Sio wote...wale tu wanaotakiwa kunusa ..habari ndani ya jeshi!!TISS wenyewe si wanapitia jeshini? We just know jeshi likiamua jambo TISS ni taasisi tu.
Nauliza mafunzo... nani wanawapatia hawa vijana. Achana na hawa wa kuokoteza. Walr wenyewe wanaoenda kusomea mafunzo kambini kwa mwaka ama miezi 6. Ikumbukwe TISS walio wajeda si wengi kama ambavyo hao huko jui wnaadai. Ni mmoja mmoja. Na wao wako liable na jeshi. Jeshi liheshimiwe.Sio wote...wale tu wanaotakiwa kunusa ..habari ndani ya jeshi!!
Sent from my TECNO CD6 using JamiiForums mobile app
Anayemiliki silaha za kivita ndiye mkubwaWakuu hope mko poa
Naomba kuuliza ni nani, Ni mkubwa, lakini pia nani anajua Siri nyingi, lakini pia nani yupo karibu mno na raisi Kati ya Mkuu wa Majeshi(CDF) na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa(DGIS)
Karibu mtujuze mnaojua
Enzi za utoto ilikua utata kama huu unamalizwa kwa wahusika kupanda ulingoni kuzichapa na mshindi ndiye mkubwa
[emoji3][emoji3][emoji119][emoji119]Lubinga [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
Wana vyuo Na sehemu zao maalum... Si jeshini....Nauliza mafunzo... nani wanawapatia hawa vijana. Achana na hawa wa kuokoteza. Walr wenyewe wanaoenda kusomea mafunzo kambini kwa mwaka ama miezi 6. Ikumbukwe TISS walio wajeda si wengi kama ambavyo hao huko jui wnaadai. Ni mmoja mmoja. Na wao wako liable na jeshi. Jeshi liheshimiwe.
MUGABE alikuwa na CIO lakini jeshi liliamua.Mipango kama hiyo huwa haiwezi kuridhiwa na watu wote. Serikali inaweza kupangua safu kuvuruga mpango na kuna njia nyingine nyeusi 'black ops' zinazoweza kutumika dhidi ya vinara wa mpango ovu.
MUGABE alikuwa na CIO lakini jeshi liliamua.
Kuna umbali gani kutoka Tanzania kwenda Dar es salaam?Wakuu hope mko poa
Naomba kuuliza ni nani, Ni mkubwa, lakini pia nani anajua Siri nyingi, lakini pia nani yupo karibu mno na raisi Kati ya Mkuu wa Majeshi(CDF) na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa(DGIS)
Karibu mtujuze mnaojua
ππππ we jamaa!Enzi za utoto ilikua utata kama huu unamalizwa kwa wahusika kupanda ulingoni kuzichapa na mshindi ndiye mkubwa.
sanaSwali la kipuuzi
Mafunzo yao najua yanapofanyika mkuu. Najua vyema kambi zao. Nani ni walimu wao wa mafunzo wawapo kambini?Wana vyuo Na sehemu zao maalum... Si jeshini....
Hawa wanaonekana wadogo kutokana Na mfumo wao wa kufanya kazi nyuma ya pazia...lakini..Cdf..ili apite file yake lazima ipitie kwao... na hata rais!
Jeshi Lina nguvu ...watu Na silaha nyingi zaidi..Ila ikitokea Vita mpaka jeshi kwenda kupigana ujuwe...TI...kahusika ndio maana wapo mpaka jeshini Ila wanalipwa Na kitengo!...
Cdf...anaweza zimwa na hawa jamaa Ila yeye Hana uwezo wa kuwazima!... Na ndio Wana uwezo wa kumonitor Na kucontrol mpaka taasisi ya raisi!
Cdf..ni mkuu...wa vyombo vyote vya ulinzi Na usalama ila si kwa kitengo!
Sent from my TECNO CD6 using JamiiForums mobile app