Nani Mkubwa kati ya Mkuu wa Majeshi na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa?

Wasipoelewa hapa basi tuwaache.
 
Halaf wakishakuwa wana hizo taarifa lakin jeshi wameamua lao kupitia ranks zao za majenerali na wameshatoa amri, hao usalama watafanya nini..watavamia kambi za jeshi?
Hizo top Ranks za TPDF nusu ni TISS huwezi fanikisha hayo mapinduzi. Elewa hivyo usikaze ubongo wako huo. We unadhani maofisa walioapa juzi wote ni kutoka kambini JWTZ? Kwa taarifa yako maofisa usalama kibao wameingizwa kule karibu kila mkoa unatoa ili wakapige ile kozi ya afisa cadet. Tuipe heshima yake ile IDARA INAFANYA KAZI ILIYOTUKUKA SANA. NCHI KUWA SALAMA NA UTULIVU NI WAO. MUNGU AZIDI KUWAPA MOYO WA KUILINDA NA KUITETEA NCHI YETU. WALE NDIO WAZALENDO NO. 1 NCHINI HAPA. POPOTE WALIPO TISS WANYWE SODA MIMI NITALIPA.
 
Sitaki kuandika sana leo, lakini mfano hai msiba wa aliyekuwa rais wetu, kwanini watu walikuwa wameka kimya lakini baada ya kauli ya CDF mbona walitangaza? Huo ni mfano hai. Sina mengi.
Acha story za VIJIWENI wewe
 
Jambo afande[emoji61].

Hapa umemiza kila kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitu unatakiwa ujue TISS wapo jeshini na wanajeshi wengi wapo TISS. Analyse for yourself. Kitu nashangaa ni watu kulinganisha nguvu za jeshi na mashushushu. Halaf kwanini mtu akiwa analinganisha anawaza tu mapinduzi na sio uwezo wa hizo taasisi?
 
Jeshini hakuna watu, kuna wanajeshi 😄😄😄.. Kuna watu wana access ya moja kwa moja na RAIS kwenye kila idara hata huko TISS penyewe na diwani hawajui, na hata polisi na ipo hivyo hata JWTZ
 
Kitu unatakiwa ujue TISS wapo jeshini na wanajeshi wengi wapo TISS. Analyse for yourself. Kitu nashangaa ni watu kulinganisha nguvu za jeshi na mashushushu. Halaf kwanini mtu akiwa analinganisha anawaza tu mapinduzi na sio uwezo wa hizo taasisi?
JWTZ hawawezi kupenyeza watu wao TISS hawawezi na hawatokaa waweze ila TISS kuweka watu wao JWTZ ni lazima na wamewekwa wengi sana mpaka wasaidizi wa CDF hapo
 
JWTZ hawawezi kupenyeza watu wao TISS hawawezi na hawatokaa waweze ila TISS kuweka watu wao JWTZ ni lazima na wamewekwa wengi sana mpaka wasaidizi wa CDF hapo
Amka ndugu yangu..uliza vizuri kama hujui. Hata wakuu wa TISS wengine wametokea jeshini. Mfano ni Hans Kitine, alitolewa jeshini kwenda usalama kuwa mkuu. Wapo wengi sana. Asilimia ya usalama wengi wanachukuliwa kutoka jeshini. That's a fact. Kwasababu wanakuwa well drilled kwenye mambo ya uzalendo
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
Watu wanavuta mipapai. Najua wanajeshi kibao (JWTZ) wapo TISS na hao hao badae hurudi jeshini baada ya kumaliza majukumu yao, au hendelea kubaki kule kule.
 
JWTZ hawawezi kupenyeza watu wao TISS hawawezi na hawatokaa waweze ila TISS kuweka watu wao JWTZ ni lazima na wamewekwa wengi sana mpaka wasaidizi wa CDF hapo
Hapa huna uhakika na ulisemalo. Kama TISS ifanyavyo basi hata JWTZ nao wameshafanya kitambo sana. Kiufupi hizi taasisi hakuna anayemuamini mwenzake kwa asilimia 100.
 
Kitu unatakiwa ujue TISS wapo jeshini na wanajeshi wengi wapo TISS. Analyse for yourself. Kitu nashangaa ni watu kulinganisha nguvu za jeshi na mashushushu. Halaf kwanini mtu akiwa analinganisha anawaza tu mapinduzi na sio uwezo wa hizo taasisi?
Tiss wengi wanaopelekwa Jwtz ikiwa ni kipindi cha mafunzo wengi hukimbia ama kabla ya kumaliza mafunzo au baada ya kumaliza mafunzo, lakini pia Tiss hufanya usaili kwa kuchukua baadhi ya askari waliopo jwtz, sio kama wanaondoka jwtz moja kwa moja bali hufanyia kazi wakiwa humo humo.
 
IO wa JWTZ wanakusanya hadi data za nje na ndani. Na kuna JWTZ kibao TISS
 
Huelewi chochote namna serikali inavyoendesha nchi. Kwa kifupi tu TISS ndo serikali ambayo ina idara zake ikiwepo hiyo JWTZ.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…