Nani Mkubwa kati ya Mkuu wa Majeshi na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa?

Kitu kikiitwa mfumo obviously lazima watafanya kazi pamoja. Even ww raia utafanya nao kazi

Nikuulize swali jepesi.. Tiss akiw nje ya mipaka anafanya shughul zipi ukitofautisha na shughuli za Mi-Int?
 
Essence ya kuwa na Deffence Forces Primarily ni kulinda nchi dhidi ya adui kutoka Nje.
Na adui kutoka nje anaweza kuingia kupitia Majini, Angani ama Ardhini.
Ndio Maana ya Majeshi ya ulinzi
 
Kitu kikiitwa mfumo obviously lazima watafanya kazi pamoja. Even ww raia utafanya nao kazi

Nikuulize swali jepesi.. Tiss akiw nje ya mipaka anafanya shughul zipi ukitofautisha na shughuli za Mi-Int?
Atafanya Shughuli iliyompeleka huko nje ya Mipaka
 
Kitu kikiitwa mfumo obviously lazima watafanya kazi pamoja. Even ww raia utafanya nao kazi

Nikuulize swali jepesi.. Tiss akiw nje ya mipaka anafanya shughul zipi ukitofautisha na shughuli za Mi-Int?
Halafu sio kila aliyepo JF ni Raia
 
Reactions: BRB
😄😄😄
kuna kitu unamiss hapo mkuu,
hao waliotoka jeshi ndo hao tunaosema ni tiss waliokua jeshi (rejea mfano wa DG wa sasa)
hata DG aliyopita alikua mkurugenzi NIDA huko, kwa mawazo yako utasema ametoka tu mtu NIDA akaja kuwa DG wa tiss
 
Wakuu hope mko poa

Naomba kuuliza ni nani, Ni mkubwa, lakini pia nani anajua Siri nyingi, lakini pia nani yupo karibu mno na raisi Kati ya Mkuu wa Majeshi(CDF) na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa(DGIS)

Karibu mtujuze mnaojua
Wewe bado mchanga sana kwenye mambo yanayohusu nchi, achana kabisa na kitu kinaitwa CDF maana bila hicho tungekuwa tunaongea kichina sasa hivi acha kabisa, maana watu walitaka kupindua meza...to take advantage.
 
Mkuu wa bandari na Mkuu wa TRA nani mkubwa???
Jeshi na TISS ni vitu viwili tofauti sasa huo mlinganisho mnautoa wapi???
 
Sio kweli, CDF hata kwenye utambulisho huwa anatambulishwa kama mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama. Na wote wale wa polisi, magereza, uhamiaji wanampigia salute
 
Mnawaza kupindua tu.. wakati mada yenyewe haiongelei hata mambo ya kupindua. Sijui mna matatizo gani nyie
 
Sio kweli, CDF hata kwenye utambulisho huwa anatambulishwa kama mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama. Na wote wale wa polisi, magereza, uhamiaji wanampigia salute
CDF = CHIEF OF DEFENCE FORCES

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi

Amiri Jeshi Mkuu ndio MKUU WA MAJESHI WA ULINZI NA USALAMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…