Mpandisha mishahara
JF-Expert Member
- Mar 1, 2014
- 1,742
- 1,558
Hajui kuwa Jeshi la Ulinzi likiwa na nguvu kubwa, kwa katiba yetu Ni rahisi Sana wao kupindua nchi, ndio maana intelligence duties wakapewa idara!! Nguvu yote inayotakiwa kuwepo jeshini ikaenda kwenye idara.hatambui HiloSasa CDF apange mapinduzi yeye kilaza au ? Unafikiri ni kwa nini Nigeria jeshi lao limefanikiwa kufanya mapinduzi mara sita ila Tanzania jeshi halijawahi kufanikiwa kufanya mapinduzi?
Mnasahau kuwa ranking miaka ya nyuma kidogo Tanzania tulikuwa juu sana kwenye ujasusi na pia jeshi licha ya kuwa liko nyuma kizana lakini ikafikia mwanamfalme mmoja akalisifia sana JWTZ ?
Dah!!..Kuna watu mnaskitisha kwa kweli..,,Kwahiyo mabeyo anawaongoza mpaka TISS, acheni dharau Basi na watu wenye akili nyingi.
Jeshi Lina kitengo chake cha inteligensia. Kuna watu wanadhani mashushushu ndio wanatawala nchi. Jeshi likiamua kufanya yao hamna mtu ataleta fyoko.Vyombo vyote vinategemeana, ndio maana hata hilo Jeshi la Ulinzi bila intelijensia imara haliwezi kuonekana Imara.
Wewe unaongelea Tanzania tu. Mimi naongelea dunia nzima. Hata hapa wakiamua lao TISS watafanya nini kwa mfano?Kabla halijaamua hao wafanya maamuzi wanakuwa tayari riported na usalama.
Information is everything you need to make perfect strikes, tiss wanazo Taarifa mpaka za jeshi
Halina mfumo wa intelligence ya Raia, ina intelligence ya jeshini humo humo, taarifa za nchi unazipata kwa raia na viongozi wao. Jeshini huo mfumo wa upatikanaji wa hizo taarifa hawana.wanapelelezana wao kwa wao, ndio maana wana polisi wao (MP) utawafananisha na polisi wa Raia kimamlaka?Jeshi Lina kitengo chake cha inteligensia. Kuna watu wanadhani mashushushu ndio wanatawala nchi. Jeshi likiamua kufanya yao hamna mtu ataleta fyoko.
Wakiamua kwa mfano hao TISS watafanya nini? Unajua system ya jeshi wale Wakuu wakishaamua kufanya yao na wakatoa order nini kinaendelea? Halaf wewe unamtazamo finyu wa Tz tu. Mi naangalia might ya jeshi duniani kote. Nchi ngapi jeshi linachukua nchi,na hao usalama huwa wanafanya nini labda?Halina mfumo wa intelligence ya Raia, ina intelligence ya jeshini humo humo, taarifa za nchi unazipata kwa raia na viongozi wao. Jeshini huo mfumo wa upatikanaji wa hizo taarifa hawana.wanapelelezana wao kwa wao, ndio maana wana polisi wao (MP) utawafananisha na polisi wa Raia kimamlaka?
Mifumo ya kiulinzi na kiusalama haifanani Mkuu, Kila Taifa lina mfumo wake ndio maana hapa TZ nguvu ya intelijensia haipo jeshini, na hauwezi kuwa Jeshi imara bila intelijensia imara.Wakiamua kwa mfano hao TISS watafanya nini? Unajua system ya jeshi wale Wakuu wakishaamua kufanya yao na wakatoa order nini kinaendelea? Halaf wewe unamtazamo finyu wa Tz tu. Mi naangalia might ya jeshi duniani kote. Nchi ngapi jeshi linachukua nchi,na hao usalama huwa wanafanya nini labda?
Unachanganya mambo.. nadhani wewe ni wale wanaamini usalama wa taifa wana nguvu kuliko chochote. Nikuulize, usalama wana vifaru vingapi? Wana ndege ngapi za kivita, wana mizinga mingapi? Wana bunduki ngapi? Ikatokea conflict kati yao nani atakalishwa. Tanzania mifumo yote imeiga. Hakuna jipya chini ya jua kiasi kwamba Tanzania waje na jipya lao ambalo dunia nzima hakunaMifumo ya kiulinzi na kiusalama haifanani Mkuu, Kila Taifa lina mfumo wake ndio maana hapa TZ nguvu ya intelijensia haipo jeshini, na hauwezi kuwa Jeshi imara bila intelijensia imara.
Wana Taarifa zote mpaka mikakati ya jeshi iliyofanyika, inayofanyika na itakayofanyika.Unachanganya mambo.. nadhani wewe ni wale wanaamini usalama wa taifa wana nguvu kuliko chochote. Nikuulize, usalama wana vifaru vingapi? Wana ndege ngapi za kivita, wana mizinga mingapi? Wana bunduki ngapi? Ikatokea conflict kati yao nani atakalishwa. Tanzania mifumo yote imeiga. Hakuna jipya chini ya jua kiasi kwamba Tanzania waje na jipya lao ambalo dunia nzima hakuna
Wana Taarifa zote mpaka mikakati ya jeshi iliyofanyika, inayofanyika na iitakayofanyika
I don't have any fact, unajua mpaka mipasho....Ongea facts mzee acha mipasho
Kwani hapa Tanzania Taasisi gani ya kiusalama au jeshi gani ambalo halina intelijensia yake?Jambo la msingi hii nchi ni ya amani na hakuna haja ya mapinduzi. Kwani ni wapi duniani ambako serikali haijaweka mashushushu jeshini. Lakin ikifikia jeshi wanataka kufanya yao usalama huwa wanafanya nini? Mtawala wa dunia hii ni jeshi
We endelea kudanganywa kuwa usalama wana nguvu kuliko jeshi..kitu ambacho hujui usalama wa taifa wengi wanachukuliwa kutoka jeshini. Maana yake wengi ni wanajeshi. Hata walinzi wa Rais wengi ni wanajeshi au wametokea jeshini kwenda usalama. Mpaka hapo kama haujaelewa nguvu ya jeshi hakuna haja ya kupoteza muda na weweKwani hapa Tanzania Taasisi gani ya kiusalama au jeshi gani ambalo halina intelijensia yake?
Na CDF alivyosema tu kuwa mheshimiwa Rais tutakutii..mama akapumuaSitaki kuandika sana leo, lakini mfano hai msiba wa aliyekuwa rais wetu, kwanini watu walikuwa wameka kimya lakini baada ya kauli ya CDF mbona walitangaza? Huoni mfano hai. Sina mengi.
Mimi sio askari
Mi naangalia tu watu wanavyokata viuno hapa.Na CDF alivyosema tu kuwa mheshimiwa Rais tutakutii..mama akapumua
Jeshi likiamua kitu,hakuna mtu analeta fyoko. .
na vile udini unavyokusumbua poleNi kama warokole kujifanya wa kristo kuliko wa Roman